figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nyingi za namba hizi ni feki. Kuna watun wanawahadaa wengine kuwatafutia nida na kuzificha wakidai zizmechelewa ili zitumike kwenye uchakachuaji. Tunajua.Nimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Nchi yetu imeshanajisiwa..
Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.
Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
Ndio maana nilikataa kujiandikisha, huu utapeli si utakiNimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Nchi yetu imeshanajisiwa..
Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.
Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
Kukanusha hakutoshi. Ni wezi wangapi wanaiba na kukanusha hawakuiba wakati waliiba?hawa INEC si walikanusha tuhuma za pole pole alizaodai mifumo ya NIDA inasomana na INEC..iweje leo warudi kule kuke walipokanusha..sasa hao watakaopiga kura kwa NIDA watasomana vipi na INEC.? kwahiyo Tume ya uchaguzi wanakubali yale madai aliyotoa pole pole sasa kipindi kile walikataa nini kama wanafanya kitu kile kile walichokanusha.! kumbe ni kweli mifumo ya NIDA inasomana na INEC
Umeamua kutokuelewa au una mihemko tuu, waliojiandikisha vipindi vya nyuma sio lazima wajiandikishe tena labla kuhakiki taarifa zako tuu.Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Wabongo ni vichwa majina aisee 🙌hawa INEC si walikanusha tuhuma za pole pole alizaodai mifumo ya NIDA inasomana na INEC..iweje leo warudi kule kuke walipokanusha..sasa hao watakaopiga kura kwa NIDA watasomana vipi na INEC.? kwahiyo Tume ya uchaguzi wanakubali yale madai aliyotoa pole pole sasa kipindi kile walikataa nini kama wanafanya kitu kile kile walichokanusha.! kumbe ni kweli mifumo ya NIDA inasomana na INEC
Hapo maana yake mifumo inasoma ya INEC(SISIEMU) na mifumo ya Pasipoti,leseni ya udereva na nida kama alivyosema polepole! nachoka kabisa brother yake clemence mwanandamo ,nimemaliza.Nimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Nchi yetu imeshanajisiwa..
Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.
Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
================
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa mwongozo kwa wananchi waliopoteza kitambulisho cha mpigakura kutumia leseni za udereva, kadi ya Nida na pasi za kusafirisha huku wasioona wakitumia mfumo wa nukta nundu.
Hatua hiyo imetajwa kuwawezesha Watanzania kushiriki kikamilifu katika kupigakura kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.
Msimamizi wa uchaguzi majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, Anamary Mbunga ametoa mwongozo huo wa INEC, leo Jumanne Oktoba 21, 2025, wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, zikiwa zimebaki siku nane kabla ya uchaguzi.
“Ni lazima kila mpigakura afike kwenye kituo cha kupigia kura akiwa na kadi yake, lakini kwa wale walipoteza wafike mapema kwenye vituo walikoboresha taarifa zao kwenye daftari la mpigakura sambamba na leseni ya udereva, Nida au pasi ya kusafiria ambavyo vina majina sahihi,” amesema.
Katika hatua nyingine, Mbunga amesema kwa majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, kuna vituo 900 vya kupigia kura, lakini kwa Mbeya Mjini kuna kata 23 badala ya 36 za awali kabla hayajagawanywa.
Wakati huo huo amesema kwa sasa wagombea wote wa vyama vinavyo shiriki uchaguzi wanaendelea kufanya kampeni na wananchi wanajitokezq kusikiliza sera za vyama vyote.
Naomba kuuliza,Wabongo ni vichwa majina aisee 🙌
Kwan taarifa unazotoa ukijiandikisha kupiga kura zina utofauti gani na unazotoa kwenye nida?
Taarifa c zitafanana mkuu, Yn uwe na kitambulisho chenye majina, tarehe, na taarifa zingine za nida sawasawa na taarifa za kupiga kura afu wakuzuie, haiwezekani.Naomba kuuliza,
Kama hauna access ya NİDA utahakiki vipi kuwa mtu anayepresent ID ya NIDA ya kuwa details zake ni legit?