Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga Sheria ya Uchaguzi na kuweka masharti yafuatayo:
Ukienda D pale inasema kutaja kazi ya Tume za Sheria ya Uchaguzi kwa utaratibu wa kila Uchaguzi ambao utaendeshwa chini ya Uongozi na usimamizi wa Tume ya Uchaguzi.
Ukienda ibara ya 74 ibara ndogo ya 6(e) inasema Tume itatekeleza majukumu yote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge. Sasa ukienda kwenye kifungu cha kumi cha Sheria ambayo Tume inatakiwa itekeleze kifungu cha 1(c) kinasema kusimamia na kuratibu utaratibu wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania Bara utazingatia taratibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
Kwahiyo, hawa wapotoshaji wanafahamu Sheria hiyo haijatungwa lakini bado wanatumia Vyombo vya Habari kuweka upotoshaji huo.