Pre GE2025 INEC yafafanua hoja ya TAMISEMI kusimamia Uchaguzi Serikali za Mitaa

Pre GE2025 INEC yafafanua hoja ya TAMISEMI kusimamia Uchaguzi Serikali za Mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tusilalamike sana, TAMISEMI inauzowefu sana na maswala ya uchaguzi. Kuna watalaamu kule wenye ujuzi wa kitaifa na ki mataifa. Watasimamia uchaguzi kwa haki na usawa kama uchaguzi uliopita ulivyokuwa huru na usawa.
 
Cha kushangaza,ni kwamba wala huoni kuwa kuna fursa ya hayo unayoyahimiza kutokana na uchaguzi ulioharibiwa!
Hii ina maana hata hayo unayo yategemea yatokee, mapinduzi na machafuko huamini kuwa yanawezekana.

Wewe unasubiri tu, yatokee kwa muujiza fulani, ambao hata kuueleza huuelezi!
Mkuu himiza watu mshiriki hizo chaguzi Ili haya ninayosema yatokee. Ila mimi nitahimiza kutoshiriki huo upuuzi tupate njia nyingine ya kupata viongozi. Kuna tatizo kwenye hili?
 
Tusilalamike sana, TAMISEMI inauzowefu sana na maswala ya uchaguzi. Kuna watalaamu kule wenye ujuzi wa kitaifa na ki mataifa. Watasimamia uchaguzi kwa haki na usawa kama uchaguzi uliopita ulivyokuwa huru na usawa.
Tamisemi Yuko mkwe Wetu yule mwenye kifua kipana

Sheria za uchaguzi tumezi sugar coat tu ila ni zile zile

Lazima maccm tushindwe tu
 
Kuna watu bado mna imani na chaguzi za nchi hii? Ili chaguzi za nchi hii zirudi kwenye heshima yake, ni lazima yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Lakini kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti wa ccm na genge lake ndio wanaamua nani atagazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya muda.
Inabidi ifike mahala watu wasusie..
 
Sikilizeni!

Kura Huwa haichagui kiongozi,Bali huhalalisha kiongozi aliechaguliwa tayari kabla ya uchaguzi kufanyika!coz chaguo la watu laweza kuwa na dosari ki dola!!

Sasa basi,Nini kinaenda kutokea!!?

Ramani ya uchaguzi huu imeshachorwa rasmi,samiah hawezi kabisa kufanya ya 2020!Ili apate uhalali wa kidemokrasia Kuna kata ataachia upinzani uchukue kabisa na zile ccm kongwe zitapita kwa asilimia mia CCM!

Kwa hiyo upinzani wajiandae kushinda baadhi ya kata!
 
Haya sasa yametimia, Mchengerwa hakikisha mama mkwe anarejea
 
Na wasimamizi tayari tushaandaliwa kitambaa cha suti na elf 30 ya mashono....elf 50 ya kiatu.
Hapa mbona hatoki mtu. (Hii injiii haihitaji kuwa serious sana utajimurder 😁)

Screenshot_20240614-082600.jpg
 
Sikilizeni!

Kura Huwa haichagui kiongozi,Bali huhalalisha kiongozi aliechaguliwa tayari kabla ya uchaguzi kufanyika!coz chaguo la watu laweza kuwa na dosari ki dola!!

Sasa basi,Nini kinaenda kutokea!!?

Ramani ya uchaguzi huu imeshachorwa rasmi,samiah hawezi kabisa kufanya ya 2020!Ili apate uhalali wa kidemokrasia Kuna kata ataachia upinzani uchukue kabisa na zile ccm kongwe zitapita kwa asilimia mia CCM!

Kwa hiyo upinzani wajiandae kushinda baadhi ya kata!
Hizo chaguzi za eti kuwa Dola inatuamulia nani awe kiongozi hatuna muda nazo tena, wenye muda wa kupoteza ndio wataendelea na huo uhuni.
 
Cha kushangaza,ni kwamba wala huoni kuwa kuna fursa ya hayo unayoyahimiza kutokana na uchaguzi ulioharibiwa!
Hii ina maana hata hayo unayo yategemea yatokee, mapinduzi na machafuko huamini kuwa yanawezekana.

Wewe unasubiri tu, yatokee kwa muujiza fulani, ambao hata kuueleza huuelezi!
Nakulubali
 
Machozi yako yatadlsaidia Nini, ama Mwende mahakamani au muandae maandamano yasiyo na Kokomo.
 
Nitashiriki uchaguzi tuu iwapo utanipatia pesa na sitalazimika kutenda yakishetani
 
Siamini unachoamini, mapinduzi huko Egypt enzi za Mubarak, Sudan enzi za Elbashir, Zimbabwe enzi za Mugabe hayakuanza wakati au baada ya uchaguzi.
Na unaamini hakuna mfano hata mmoja unaoweza kuutumia wa mapinduzi yaliyotokana na uchaguzi; au mageuzi ya aina hiyo wewe huyatambui?
 
Back
Top Bottom