Kwa hiyo unayohimiza yakitokea baada ya "huo upuuzi", bado utakuwa unataka njia zako tu ndizo zitambuliwe?Mkuu himiza watu mshiriki hizo chaguzi Ili haya ninayosema yatokee. Ila mimi nitahimiza kutoshiriki huo upuuzi tupate njia nyingine ya kupata viongozi. Kuna tatizo kwenye hili?
Yaani viongozi wanaotokana na huo unaouita upuuzi, bado watakuwa siyo viongozi; kwa vile tu njia zako hazikutumika?