Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga Sheria ya Uchaguzi na kuweka masharti yafuatayo:
Ukienda D pale inasema kutaja kazi ya Tume za Sheria ya Uchaguzi kwa utaratibu wa kila Uchaguzi ambao utaendeshwa chini ya Uongozi na usimamizi wa Tume ya Uchaguzi.
Ukienda ibara ya 74 ibara ndogo ya 6(e) inasema Tume itatekeleza majukumu yote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge. Sasa ukienda kwenye kifungu cha kumi cha Sheria ambayo Tume inatakiwa itekeleze kifungu cha 1(c) kinasema kusimamia na kuratibu utaratibu wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania Bara utazingatia taratibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
Kwahiyo, hawa wapotoshaji wanafahamu Sheria hiyo haijatungwa lakini bado wanatumia Vyombo vya Habari kuweka upotoshaji huo.
Waziri Mchengerwa alishasema kuwa 2024 hakuna mtaa, kijiji au kitongoji kitaenda upinzani. Habari ndiyo hiyo Samia alimpeleka mkwe hapo TAMISEMI kimkakati
kila siku ccm inatuonyesha kwamba haistahili kurudi madarakani ila sisi wananchi tunashupaza sana shingo na kukaza mafuvu tunawarudisha tena ccm na wanaendelea kutuona manyani
Kuna watu bado mna imani na chaguzi za nchi hii? Ili chaguzi za nchi hii zirudi kwenye heshima yake, ni lazima yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Lakini kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti wa ccm na genge lake ndio wanaamua nani atagazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya muda.

Hivi haiwezekani haya wanayotaka CCM ndiyo yakawa chachu ya kuwaangamiza badala ya kusubili hayo unayoyaamini wewe?
Nina maana ya kwamba, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, na kukataa kura zao zisichezewe. Hii ndiyo iwe njia ya kuwatia adabu hao CCM. Kwa nini haiwezekani?
Machafuko huanzia kwenye jambo, na hapa yatakuwa chanzo chake ni kuharibiwa kura za wapiga kura wenyewe.
Vinginevyo, hayo machafuko yataanzia wapi na kwa sababu zipi?
Mimi naona hii ndiyo sababu nzuri kabisa, hata ikibidi kuwahusisha hao wana jeshi; kama Omar Bongo alivyokataliwa upumbavu wake huko Gabon.
katika mawazo yangu, hapajawahi kuwepo na nafasi nzuri kama iliyopo sasa ya kuwaondoa CCM kupitia kupiga kura kama iliyopo sasa; hata kwa mazingira wanayodhani wao wanayamudu. Wananchi ni muhimu wajitokeze kwa wingi kabisa kupiga kura, na kuhakikisha kuwa kura zao hazichezewi na mtu yeyote; hata polisi.
kila siku ccm inatuonyesha kwamba haistahili kurudi madarakani ila sisi wananchi tunashupaza sana shingo na kukaza mafuvu tunawarudisha tena ccm na wanaendelea kutuona manyani
Cha kushangaza,ni kwamba wala huoni kuwa kuna fursa ya hayo unayoyahimiza kutokana na uchaguzi ulioharibiwa!
Hii ina maana hata hayo unayo yategemea yatokee, mapinduzi na machafuko huamini kuwa yanawezekana.
Wewe unasubiri tu, yatokee kwa muujiza fulani, ambao hata kuueleza huuelezi!