Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kwani ule uliopita(2019) si ulisimamiwa na hao hao..
Ule ulikuwa ni uchaFUzi, sasa tulidhani mwaka huu 2024 kutakuwa na uchaguzi.Kwani ule uliopita(2019) si ulisimamiwa na hao hao..
Mkuu himiza watu mshiriki hizo chaguzi Ili haya ninayosema yatokee. Ila mimi nitahimiza kutoshiriki huo upuuzi tupate njia nyingine ya kupata viongozi. Kuna tatizo kwenye hili?Cha kushangaza,ni kwamba wala huoni kuwa kuna fursa ya hayo unayoyahimiza kutokana na uchaguzi ulioharibiwa!
Hii ina maana hata hayo unayo yategemea yatokee, mapinduzi na machafuko huamini kuwa yanawezekana.
Wewe unasubiri tu, yatokee kwa muujiza fulani, ambao hata kuueleza huuelezi!
Na Nini kiliendelea? Je Sheria ilikuwa imebadilika kama Sasa?Kwani ule uliopita(2019) si ulisimamiwa na hao hao..
Tamisemi Yuko mkwe Wetu yule mwenye kifua kipanaTusilalamike sana, TAMISEMI inauzowefu sana na maswala ya uchaguzi. Kuna watalaamu kule wenye ujuzi wa kitaifa na ki mataifa. Watasimamia uchaguzi kwa haki na usawa kama uchaguzi uliopita ulivyokuwa huru na usawa.
Inabidi ifike mahala watu wasusie..Kuna watu bado mna imani na chaguzi za nchi hii? Ili chaguzi za nchi hii zirudi kwenye heshima yake, ni lazima yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Lakini kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti wa ccm na genge lake ndio wanaamua nani atagazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya muda.
Haujaeleza kama ni kilio cha furaha,huzuni au mchanganyiko na hofu.
Tena walimu wa kiume wapewe vitenge ili wakishona mashati na kuvaa wafanane na Mbilia Bel.Na wasimamizi tayari tushaandaliwa kitambaa cha suti na elf 30 ya mashono....elf 50 ya kiatu.
Hapa mbona hatoki mtu. (Hii injiii haihitaji kuwa serious sana utajimurder π)
View attachment 3016894
Mwasisi wa huu upimbiMtanikumbuka πππ₯
Hizo chaguzi za eti kuwa Dola inatuamulia nani awe kiongozi hatuna muda nazo tena, wenye muda wa kupoteza ndio wataendelea na huo uhuni.Sikilizeni!
Kura Huwa haichagui kiongozi,Bali huhalalisha kiongozi aliechaguliwa tayari kabla ya uchaguzi kufanyika!coz chaguo la watu laweza kuwa na dosari ki dola!!
Sasa basi,Nini kinaenda kutokea!!?
Ramani ya uchaguzi huu imeshachorwa rasmi,samiah hawezi kabisa kufanya ya 2020!Ili apate uhalali wa kidemokrasia Kuna kata ataachia upinzani uchukue kabisa na zile ccm kongwe zitapita kwa asilimia mia CCM!
Kwa hiyo upinzani wajiandae kushinda baadhi ya kata!
NakulubaliCha kushangaza,ni kwamba wala huoni kuwa kuna fursa ya hayo unayoyahimiza kutokana na uchaguzi ulioharibiwa!
Hii ina maana hata hayo unayo yategemea yatokee, mapinduzi na machafuko huamini kuwa yanawezekana.
Wewe unasubiri tu, yatokee kwa muujiza fulani, ambao hata kuueleza huuelezi!
Na unaamini hakuna mfano hata mmoja unaoweza kuutumia wa mapinduzi yaliyotokana na uchaguzi; au mageuzi ya aina hiyo wewe huyatambui?Siamini unachoamini, mapinduzi huko Egypt enzi za Mubarak, Sudan enzi za Elbashir, Zimbabwe enzi za Mugabe hayakuanza wakati au baada ya uchaguzi.