Kwa hiyo unayohimiza yakitokea baada ya "huo upuuzi", bado utakuwa unataka njia zako tu ndizo zitambuliwe?Mkuu himiza watu mshiriki hizo chaguzi Ili haya ninayosema yatokee. Ila mimi nitahimiza kutoshiriki huo upuuzi tupate njia nyingine ya kupata viongozi. Kuna tatizo kwenye hili?
Sina popote ninapolazimisha njia zangu kukubalika acha kunibadilishia maana tafadhali. Na Sina tatizo na viongozi kupatikana kwa njia halali hata kama sio wa chama ninachokikubali.Kwa hiyo unayohimiza yakitokea baada ya "huo upuuzi", bado utakuwa unataka njia zako tu ndizo zitambuliwe?
Yaani viongozi wanaotokana na huo unaouita upuuzi, bado watakuwa siyo viongozi; kwa vile tu njia zako hazikutumika?
Mapinduzi ya kijeshi utayasikia tu nchi nyingine hapa TZ hatuyahitaji kwa kuwa nchi iko vizuri tu. By the way hapa TZ tuna vyama mbadala kweli? Kwa mfano CDM ni Saccos ya Mbowe na group lake la chagadema hatuwezi kuwapa nchi.Kuna watu bado mna imani na chaguzi za nchi hii? Ili chaguzi za nchi hii zirudi kwenye heshima yake, ni lazima yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Lakini kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti wa ccm na genge lake ndio wanaamua nani atagazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya muda.
Jaribu uone.Hapa inabid ndege ya kiongozi makubwa ipotee kwenye rada, ndio tutasikilizwa
Tusingeshuhudia zile chaguzi za kishenzi ili ccm kutangazwa washindi kwa shuruti.Mapinduzi ya kijeshi utayasikia tu nchi nyingine hapa TZ hatuyahitaji kwa kuwa nchi iko vizuri tu. By the way hapa TZ tuna vyama mbadala kweli? Kwa mfano CDM ni Saccos ya Mbowe na group lake la chagadema hatuwezi kuwapa nchi.
CDM walishinda Jimbo gani wakanyang'anywa? Na kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki yao? Mwaka huu 2024 na mwaka kesho 2025 mtapigwa tena na mtaendelea kulalamika tu watz walishawazarau siku nyingi.Tusingeshuhudia zile chaguzi za kishenzi ili ccm kutangazwa washindi kwa shuruti.
Waende kwenye hizi mahakama zinazopigiwa simu moja? Au umesahau Makonda alisema sio rahisi kupata haki kwenye hizi mahakama zetu. Ukashitaki kwenye mahakama uporaji wa uchaguzi ambao Magufuli kaagizwa uporwe?CDM walishinda Jimbo gani wakanyang'anywa? Na kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki yao? Mwaka huu 2024 na mwaka kesho 2025 mtapigwa tena na mtaendelea kulalamika tu watz walishawazarau siku nyingi.
Basi tuliza mshono ili CCM waendeshe nchi na wewe ubaki kuandika kwenye mitandao tu!!Waende kwenye hizi mahakama zinazopigiwa simu moja? Au umesahau Makonda alisema sio rahisi kupata haki kwenye hizi mahakama zetu. Ukashitaki kwenye mahakama uporaji wa uchaguzi ambao Magufuli kaagizwa uporwe?
Watanzania wangetudharau tusingeona hizi chaguzi za kishenzi ili ccm wakae madarakani kwa shuruti.
Mimi kuandika nitaandika hata ikiwepo serekali ya kijeshi, acha hii ya majizi ya kura.Basi tuliza mshono ili CCM waendeshe nchi na wewe ubaki kuandika kwenye mitandao tu!!