KumbeHizo brand tatu zote zinamilikiwa na mmiliki mmoja.
Ila sokoni zinajifanya hazijuani zinashindana. Ili zipate wateja wengi na ziongeze marketshare
Hata staff wao bongo wanaajiriwa kampuni tofauti. Staff wa infinix bongo haelewani na staff wa tecno. Anamuona kama competitor kumbe hela zote wanazozalisha zinaenda kwa mmiliki mmoja
Hapo ndipo utajua mchina ana akili sana biashara ni zaidi ya kuwa na degree.
Iphone na samsung pamoja na majina yao makubwa zimeachwa mbali sana kimauzo na huyo mchina. Faida kubwa anapata mchina kwa sababu katenganisha majina sokoni.
View attachment 3039910
Subiri hiyo infinix yako ianze kupata moto kama pasi ikiwa mfukoni hadi uungue paja ndo utajua hizo siyo simuAcha dharau mkuu! Infinix ni simu ya heshima!
Hizo brand tatu zote zinamilikiwa na mmiliki mmoja.
Ila sokoni zinajifanya hazijuani zinashindana. Ili zipate wateja wengi na ziongeze marketshare
Hata staff wao bongo wanaajiriwa kampuni tofauti. Staff wa infinix bongo haelewani na staff wa tecno. Anamuona kama competitor kumbe hela zote wanazozalisha zinaenda kwa mmiliki mmoja
Hapo ndipo utajua mchina ana akili sana biashara ni zaidi ya kuwa na degree.
Iphone na samsung pamoja na majina yao makubwa zimeachwa mbali sana kimauzo na huyo mchina. Faida kubwa anapata mchina kwa sababu katenganisha majina sokoni.
View attachment 3039910
Ingia google mzeeNipe source nisome niongeze maarifa
Nisaidie mkuuIngia google mzee
Aina ya simu inahusianaje na matumizi ya MB?
idea nzima ya ku play video (ku stream) ni kwamba kipande cha video kidogo kinakuwa downloaded na kuingia kwenye temporary storage(aka buffer) ya simu au PC na video ina play kutoka kwenye hii bufferHapana speed na graphics za simu husika huchangia bando kukimbia mfano iphone15 ikifungua instagram picha na videos display ya graphics zake zitakuwa na ppi nyingi sana compare na infinix so mb zitakimbia kama upepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri hiyo infinix yako ianze kupata moto kama pasi ikiwa mfukoni hadi uungue paja ndo utajua hizo siyo simu
Nakubaliana nawe dronedrake yaani hii concept ya kwamba kuna aina fulani za simu zinakula sana data ndio nalisikia kwa hawa jamaa leoidea nzima ya ku play video (ku stream) ni kwamba kipande cha video kidogo kinakuwa downloaded na kuingia kwenye temporary storage(aka buffer) ya simu au PC na video ina play kutoka kwenye hii buffer
sioni kwenda kwa MBs inahusiana vipi na ppi, display graphics za kifaa husika
Ngoja tupate majibu kutoka kwa IT wa IFM, DIT na UDSMNina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.
Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero ambalo Vodacom Wana offer mb246 nilikuwa naweza kuangaika nalo kwa masaa zaidi ya kumi na mbili hapo ni mwendo wa Facebook, Jamiiforum na Whatsapp.
Sasa wahuni walipita na Infinix yangu nikaamua kuchange brand kuja kwenye Pixel aisee Mb zangu zinalika mb246 zinatumika chini ya lisaa limoja matumizi ni yaleyale Facebook, Jamiiforum na Whatsapp ilibidi niwapigie Vodacom kuwauliza kulikoni wakaniambia niangalie setting zangu uenda kuna apps zinakuwa zinafanya kazi undergrounds kama kujiupdate nimeangalia hakuna ila mb zinaisha.
Saa hivi nimesitisha kuangalia video za kikubwa maana mb zinakwenda sana kwa mwendo huu sijioni nikidumu huku lazima nirudi nilipozoea kwenye Infinix.
View attachment 3039890
narudi MMULete madini mengine mkuu
Mtaalam dronedrake kasema havihusianiMasimu ya bei kubwa yanakimbiza data ni balaa, ukigusa tu ni mb zinatiririka
UDSM haijawaji kuniangusha alumnus wao dronedrake kashatoa ufafanuziNgoja tupate majibu kutoka kwa IT wa IFM, DIT na UDSM
Niko kinyume chake vinahusiana kuna waliolezea kiutaalamu huko juu na kwa uzoefu wa baadhi ya simu nilizotumia aisee simu kali na bando linameza sio kitotoMtaalam dronedrake kasema havihusiani
Ni matumizi na setting zenu tu ndio zinafanya data zifyonzwe kwa kasi
Mimi siwaungi mkono uwe na iPhone 15 Pro max niwe na itel tukidownoald video ya Mb 200, wote tukienda kwenye details ya hiyo video itasoma 200 MbNiko kinyume chake vinahusiana kuna waliolezea kiutaalamu huko juu na kwa uzoefu wa baadhi ya simu nilizotumia aisee simu kali na bando linameza sio kitoto
Hujui na hujui kuwa hujui, tofauti ya speed ya Internet au ubora wa picha au video uko wazi kati ya simu hizo mbiliMimi siwaungi mkono uwe na iPhone 15 Pro max niwe na itel tukidownoald video ya Mb 200, wote tukienda kwenye details ya hiyo video itasoma 200 Mb
Ubora wa picha na video si ni mtumiaji ndiye anayeamuaubora wa picha au video uko wazi kati ya simu hizo mbili