Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

Hizo brand tatu zote zinamilikiwa na mmiliki mmoja.

Ila sokoni zinajifanya hazijuani zinashindana. Ili zipate wateja wengi na ziongeze marketshare

Hata staff wao bongo wanaajiriwa kampuni tofauti. Staff wa infinix bongo haelewani na staff wa tecno. Anamuona kama competitor kumbe hela zote wanazozalisha zinaenda kwa mmiliki mmoja

Hapo ndipo utajua mchina ana akili sana biashara ni zaidi ya kuwa na degree.

Iphone na samsung pamoja na majina yao makubwa zimeachwa mbali sana kimauzo na huyo mchina. Faida kubwa anapata mchina kwa sababu katenganisha majina sokoni.

View attachment 3039910
Kumbe

Sikujua
 
Katika soko la dunia brands za Kichina zinatawala kwa 55%

Xiaomi, Oppo, Transsion (infinix, itel, tecno), Vivo, Honor, Motorola, Realme na Huawei
 
Aina ya simu inahusianaje na matumizi ya MB?

Hizi simu za Kisasa kama Samsung & Iphone zina mambo mengi yanajiendesha pole pole kwa data kama ipo on kama ku pokea update ndogondogo kama za playstore, utube, na nyingine nyingi
Hata wakati wa kuona picha, ukiwa na Iphone/Samsung, unaipata kwenye 4/5G na high definition; wakati mwenzako simu yake ina 2/3G lazima data zake ziende taratibu
Kimsingi technologia ya alizotaja ipo chini...
 
Hapana speed na graphics za simu husika huchangia bando kukimbia mfano iphone15 ikifungua instagram picha na videos display ya graphics zake zitakuwa na ppi nyingi sana compare na infinix so mb zitakimbia kama upepo
idea nzima ya ku play video (ku stream) ni kwamba kipande cha video kidogo kinakuwa downloaded na kuingia kwenye temporary storage(aka buffer) ya simu au PC na video ina play kutoka kwenye hii buffer
sioni kwenda kwa MBs inahusiana vipi na ppi, display graphics za kifaa husika
 
Nakubaliana nawe dronedrake yaani hii concept ya kwamba kuna aina fulani za simu zinakula sana data ndio nalisikia kwa hawa jamaa leo

Sijawahi kusikia wala kuexperince wanachosema

Lete madini mengine mkuu
 
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.

Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero ambalo Vodacom Wana offer mb246 nilikuwa naweza kuangaika nalo kwa masaa zaidi ya kumi na mbili hapo ni mwendo wa Facebook, Jamiiforum na Whatsapp.

Sasa wahuni walipita na Infinix yangu nikaamua kuchange brand kuja kwenye Pixel aisee Mb zangu zinalika mb246 zinatumika chini ya lisaa limoja matumizi ni yaleyale Facebook, Jamiiforum na Whatsapp ilibidi niwapigie Vodacom kuwauliza kulikoni wakaniambia niangalie setting zangu uenda kuna apps zinakuwa zinafanya kazi undergrounds kama kujiupdate nimeangalia hakuna ila mb zinaisha.

Saa hivi nimesitisha kuangalia video za kikubwa maana mb zinakwenda sana kwa mwendo huu sijioni nikidumu huku lazima nirudi nilipozoea kwenye Infinix.

View attachment 3039890
Ngoja tupate majibu kutoka kwa IT wa IFM, DIT na UDSM
 
Niko kinyume chake vinahusiana kuna waliolezea kiutaalamu huko juu na kwa uzoefu wa baadhi ya simu nilizotumia aisee simu kali na bando linameza sio kitoto
Mimi siwaungi mkono uwe na iPhone 15 Pro max niwe na itel tukidownoald video ya Mb 200, wote tukienda kwenye details ya hiyo video itasoma 200 Mb
 
unachosema kwel hata mie nili realise uwez liona ilo kama unatumia brand 1 mda mrefu zaman nilikua natumia iphone bundle linapepea mfano ukigus insta fb jf twiter na web kusoma km bbc au aljazera news tu yan labda gb1 ndio kdgo utatoboa 24hrs tena vdeo unajbana bana ile iphone ikazngua upande wa chaj na kero ku downlod km movie app alaf natia kweny pc ni tabtab nikauza pind nazuga nachanga hela ninue samsung yan android nkakutan na mjuba tu kitaa anauz ka itel nakubw kubwa nkaona bei ndog then pind naunga nkanue cm dukan sio mbaya katasaidia kweny mamb yang manak hapo nlikua natmia modem kuptia laptop tu nkiw geto mtaan natmia vtoch kweny iko ki itel maisha mepes yn bando aliend jero nlikua natumia 24hrs kam sjachek chek vdeo matumiz kawaid ila unajilamba sas nlipopat cash nkaend dukan nikanunua samsng a15 cost zkapand kidg upande wa bando yan sio nlivzoea kweny itel ila ni nafuu kdgo kuliko kweny iphon then nlipo apdate to version 14 bundle consumption imepanda zaid so unachokisema ni ukwel kwa uchunguz wang
 
Back
Top Bottom