Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
KumbeHizo brand tatu zote zinamilikiwa na mmiliki mmoja.
Ila sokoni zinajifanya hazijuani zinashindana. Ili zipate wateja wengi na ziongeze marketshare
Hata staff wao bongo wanaajiriwa kampuni tofauti. Staff wa infinix bongo haelewani na staff wa tecno. Anamuona kama competitor kumbe hela zote wanazozalisha zinaenda kwa mmiliki mmoja
Hapo ndipo utajua mchina ana akili sana biashara ni zaidi ya kuwa na degree.
Iphone na samsung pamoja na majina yao makubwa zimeachwa mbali sana kimauzo na huyo mchina. Faida kubwa anapata mchina kwa sababu katenganisha majina sokoni.
View attachment 3039910
Sikujua