Yaani we acha tu. Huyu dada pichani masikini naye alipata complications kama hizi hizi akafa wiki moja baada ya kufanyiwa operesheni ya kuongeza makalio. Hawa siku hizi wanatumia mpaka mafuta yanayotolewa kutoka miili ya maiti ili kujazia huko matakoni. Kukiwa na reaction mbaya tu ya huyo recipient tayari kinaumana!
View attachment 3664269
Apumzike salama huyu jamaa ila amekufa kizembe sana. Bila shaka role models wake watakuwa walikuwa ni wacheza porn akina Mandingo, Bryon Long, Lexingstone Steele, Damion Dayoski, Pablo the Punisher, Blackzilla na wengineo...na sasa wamemponza!