Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

Mvua za masika sio hizi za joto likipqnda.. By the way huo ni mfano tuu unaweza kuongeza.. Na hapa ndio ubunifu ulipo sio kuchukua kama ilivyo bali kukupa kichocheo cha kuboresha zaidi
Kiongozi; sehemu kama Dodoma mvua zikikata Aprili ni hakika halitaonekana tone la mvua tena hadi Desemba. Bati moja likusanye maji ya miezi 8 na kilimo cha kisasa juu! I doubt!
 
Kiongozi; sehemu kama Dodoma mvua zikikata Aprili ni hakika halitaonekana tone la mvua tena hadi Desemba. Bati moja likusanye maji ya miezi 8 na kilimo cha kisasa juu! I doubt!
Hata likikusanya maji ya siku moja mkuu ni mengi sana.. Imagine watu kumi wakiwa na bati kumi watakusanya kiasi gani?
Tusichukulie bati moja na mtu mmoja tuu.. Chukua bati moja mtu mmoja, kaya nzima, kijiji kizima, tarafa nzima , wilaya nzima, mkoa mzima.. Nchi nzima.. Ni maji kiasi gani yatakusanywa
Dhana ya ubunifu... Marejeo ya semi za wahenga wetu.. Haba na haba...
Dhana ya CHADEMA .. TONE.. TONE..๐Ÿ‘Œ๐Ÿฟ
Tuwe watu wa tafakuri maana picha ya pili ndio imezua mjadala ,๐Ÿ˜€
 
Ishi maisha yako. Haya ni Europe huko. Watoto 16 then maji Bati moja kweli brother?

Nimecheka sana kwa muktadha wa sentensi ilivyoandikwa.
Kwa uhalisia wa maisha ya tunaoishi kipato cha kati na chini bati moja halitoshi kwa idadi ya watoto uliotaja, badala yake imeibua mjadala mkubwa kichwani....

Kwanini utotoe watoto 16 ilhali kujikwamua kiuchumi ni ngumu?

Naamini mtoa mada amelenga kuelimisha watu wajiongeze kipato ama namna ya kupunguza gharama za maisha.... kuna atayesema hiyo hela ya bati song ugali mle halafu.... mkoshaenda chooni mlale njaa tena?

Mimi nimependa hilo wazo, wengi wetu mvua zikinyesha huwa tunakinga maji ili kuhifadhi maji ya kutumia baadae. Bila bati au paa la nyumba unakingaje maji ya mvua?
Tujiongeze tuberose maisha yetu.
 
Picha ya kwanza imenifanya nifikirie wale wauza madafu kigamboni badala ya kwenda kutupa yale mabaki wayauze kwa watu wapande mbogamboga hata mahindi. Ama watu wayaokote wajitengenezee kilimo kisichohitaji jembe.
 
Kuna kitu kimenifikirisha kwenye reply yake..
1. Ndio asilimia 90 tulivyo.. Hatujiongezi hata kidogo
2. Imagine kawaza watoto 16 wategemee bati moja na dumu moja tena kwa hizi mvua za msimu๐Ÿฅบ
Nimejiuliza hao watoto ni wadogo kiasi gani mpaka wamtegemee mtu mmoja tu kufanya hiyo kazi
Kwanini asione ni wazo bora na akawaza kuwakatia watoto kitu kama majani ya migomba au kupachua migomba na kupata makinga maji? Tumelemazwa na akili za kukakiriri. Hatuwezi kujiongeza kamwe
 
Picha ya kwanza imenifanya nifikirie wale wauza madafu kigamboni badala ya kwenda kutupa yale mabaki wayauze kwa watu wapande mbogamboga hata mahindi. Ama watu wayaokote wajitengenezee kilimo kisichohitaji jembe.
Atakuja mvimba macho atafanya hivyo kisha tutamsifu.. Ila kwa Jr anaonekana mjuaji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizo ni illusions ndoto za alinacha. Bati moja hadi kwenye kilimo! Hakuna kitu kama hicho.
 
Picha ya kwanza imenifanya nifikirie wale wauza madafu kigamboni badala ya kwenda kutupa yale mabaki wayauze kwa watu wapande mbogamboga hata mahindi. Ama watu wayaokote wajitengenezee kilimo kisichohitaji jembe.
Then uniambie "Tajiri ni ngumu kuona ufalme wa Mungu" masikini watachomwa sana kwakutotumia akili wakizopewa.
 
Na hapa ndipo unapogundua watanzania wanataka kila kitu umtafunie yeye abaki kumeza tu na ndio maana inapokuja pesa ya kudownload wanakimbilia.
Hapo ni umepewa wazo ukalifanyie kazi kwa kuliboresha kulingana na mazingira yako kwa mfano kwa watu baadhi ya kanda ya ziwa wanaweza kunufaika sana kwa ubunifu huu kwa maana wana mvua kuanzia mwezi wa nane mpka mwezi wa sita ndio hukata kwa maana wanakuwa na kiangaz miez miwil tu
 
Hizo ni illusions ndoto za alinacha. Bati moja hadi kwenye kilimo! Hakuna kitu kama hicho.

Unachokiona na kukiamini/kutokukiamini huwa kinakupa ujasiri/nguvu ya kukifanyia kazi au kukipuuzia.

Kuna mambo mengi ya nadharia na yasiyo nadharia yamefanyika kwa muktadha wa namna hii. Na mengi hayakufanikiwa kwa muktadha wa namna hii.

Uzuri kila mmoja wetu ana utashi wa kuona lipi achukua na kulifanyia kazi lipi aache.
Ila matokeo kila mtu atabaki na yakwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ