Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Ahsante sana kwa kuwasaidia watu namna ya kujiongeza, badala ya kukomaa na bati moja. Kumbe mkiwa wengi si bati moja tena, na pengine ni ujazo wa kutosheleza kiangazi chote. Aidha, huenda ndio ubunifu mujarabu wa nchi kukabiliana na ukame.Hata likikusanya maji ya siku moja mkuu ni mengi sana.. Imagine watu kumi wakiwa na bati kumi watakusanya kiasi gani?
Tusichukulie bati moja na mtu mmoja tuu.. Chukua bati moja mtu mmoja, kaya nzima, kijiji kizima, tarafa nzima , wilaya nzima, mkoa mzima.. Nchi nzima.. Ni maji kiasi gani yatakusanywa
Dhana ya ubunifu... Marejeo ya semi za wahenga wetu.. Haba na haba...
Dhana ya CHADEMA .. TONE.. TONE..👌🏿
Tuwe watu wa tafakuri maana picha ya pili ndio imezua mjadala ,😀