Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

Watu wa naoshughulikia kilimo na afya zetu.... Wapo huko maofisini na mashambani hya ndio yanayojiri.... Haya yanafanyika kwa faida ya kizazi chetu kweli??
Mungu na kuna mayai ya kisasa ukiyapasua hayana kiini ni kama viza😭😭😭
 
Sister heshima kwako. But Sisi kama waafrica tunafanyaje ili haya uliyo yasimulia tawaambukeze vizazi vyetu tulivyo navyo?

Heshima ikurudie Mkuu 🙏.

Sina jibu sahihi la nini kifanyike ila ndo kuna ule usemi, kusoma hujui hata picha huoni?

Maana yake isiyofungamana na upande wowote mahsusi kwa hii mada, tujaribu kuiga mazuri waliyofanya. Hawa watu weupe wana mabaya na mauzauza mengi yao tuyaache na tuyachambue kama chuya kwenye mchele. Siri ilo lwenye maandishi.

Waafrika TUSIWE WAVIVU KUSOMA NA KUFANYA TAFITI ZA MAMBO. 🎤🎙down.

Tujishughulishw kujua namna ya kufanya mambo yatokee kwenye uhalisia na tuqchqne na porojo, unafiki wa kusifiana na kupakana matope, chuki zisizo na kichwa wala miguu. To be honest hata hawa weupe wana chuki na wivu, ila wameupa kipaumbele wivu wa maendeleo na RESPECT to OBEY LAW, RESPECT to each other be it poor or richer.

Kuna mahali tukifika tutatoboa na si kuwa aggressive na makatili, ama kuandamana kudai haki laah hasha bali ni kufanya mambo.

Mfano, tukiamua ile kilwelikweli, jamii kadha wa kadha kila mkoa hapa Tanzania tuwekeze kwenye kilimo kutokana na hali ya hewa ya kila mkoa na zao lipi linastawi wapi. Wakati huo wengine wawekeze kwenye maghala ya kuhifadhi chakula kwa miaka 5 hadi 10 na namna ya kusindika chakula kifae kutumia baadae hasa vile vinavyogaribika haraka mfano mbogamboga a matunda.

Hapa naongelea kilimo tuu tuwekeze nguvu hapo. Usiseme tatizo mtaji, PENYE NIA PANA NJIA. Nakuhakikishia huu mradi utatunufaisha sisi wenyewe kama wananchi na hapa ni jamii kuinuana na kushikana mkono, remember RESPECT naongezea na COMMITMENT....

Weeh, mbona kama nakuwa motivation speaker wakati mie sina hata bustani ya mchicha.

Ndo maana hapo juu nilisema sina jibu ila tujifunze kujikwamua kiuchumi. Tulinde afyq zetu kwa kuwa na chakula na vizazi vyetu, mahala salama pa kulala na mahitaji muhimu.

KUDHIBITI MATUMIZI ya kila ulichokitafuta kwa jasho lako. Hata maji utumie kwa uangalifu sio kufuja, hata chakula hata nguo.

Don't abuse the funds you have today by spending wherever you want because its yours, you have to RESPECT your funds and it(funds) will RESPECT you back, na itakuheshimisha kweli kweli.

Acha niishie hapa naona natiririka tuu bila vina wala mizani mwisho natoka nje ya mada.

Alamsiki 🙂.
 
Mtaalamu wa haya mambo ni Nicole Joyberry😌
 
Duuuhhhh.... Haya sijayaona bado... Kwa ujumla ni hatari sana
Juzi nilinunua matano nitengenezee wajukuu breakfast moja tu ndio lilikuwa na afadhali
 
KUDHIBITI MATUMIZI ya kila ulichokitafuta kwa jasho lako. Hata maji utumie kwa uangalifu sio kufuja, hata chakula hata nguo.

Don't abuse the funds you have today by spending wherever you want because its yours, you have to RESPECT your funds and it(funds) will RESPECT you back, na itakuheshimisha kweli kweli.🙏🏿🙏🏿🙏🏿💪🏿💪🏿💪🏿📌🔨🔨💗💗💗
Nimenikuta nabubujikwa na machozi kama lucas
 
Mvua za masika sio hizi za joto likipanda.. By the way huo ni mfano tuu unaweza kuongeza.. Na hapa ndio ubunifu ulipo sio kuchukua kama ilivyo bali kukupa kichocheo cha kuboresha zaidi
Naam, huko ndio kupata maarifa na kuyaboresha au kuyanyumbulisha kwa kuuendeleza ubunifu.
 
M
Mungu atusaidie kufikiri Kwa kujiongeza bro
 
Kuna uhaba wa maji mtumie vizuri yaliyopo
Kuna uhaba wa maji mtumie vizuri yaliyopo
Mshana ,nataka kuanza kulimA bamboo na kuziprocess kusafirisha South east Asia na China kuziuza
 
dudus hebu twende taratibu si Kasie wala mimi tumetaja maji kwa ajili ya kilimo.. Hebu fuatilia tangu mwanzo
Nimekuja kuhundua JF niliyoijua wakati najiunga nayo siyo hii ya sasa hivi. Watoto Ni wengi sana humu kiasi kwamba kama Kuna ka ladha hivi kamepungu humu ndani. Mzee Mshana endelea kuelimisha jamii bado tupo watu tunamhitaji Haya maarifa. JF bado ndiyo mtandao wetu pendwa huko kwengine tulishatoka siku nyingi
 
Pamoja sana mkuu wangu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…