Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

Ahsante sana kwa kuwasaidia watu namna ya kujiongeza, badala ya kukomaa na bati moja. Kumbe mkiwa wengi si bati moja tena, na pengine ni ujazo wa kutosheleza kiangazi chote. Aidha, huenda ndio ubunifu mujarabu wa nchi kukabiliana na ukame.
 
Na wa gharama sawa na bure
 
Watu wa naoshughulikia kilimo na afya zetu.... Wapo huko maofisini na mashambani hya ndio yanayojiri.... Haya yanafanyika kwa faida ya kizazi chetu kweli??
Hapa sasa ndiyo unaona umuhimu wa Mshana ku share huu ubunifu, ukijfanyia mwenyewe bustani yako nyumbani au shambani kwako unakuwa Salama zaidi. Halafu nchi yetu bado inayo mapori mengi haishindikani ni uamuzi tu
 
Nami najiuliza, watoto 16 bado wote ni wadogo? Na kama wote ni wachanga, je walizaliwa mapacha? Nijuavyo ukifikisha watoto 16, zaidi ya 10 watakuwa watu wazima na pengine wanajitegemea.

Kama bado wapo nyumbani, tayari kuna mabati zaidi ya 10. La sivyo, wanaopiga hatua za kimaendeleo watasalia wachache sana - daima!
 
Umenena vema kabisa!
 
Aaahahahhaaa Mshana usinichekeshe, Lucas Who..!! Lucas What...! Lucas Where...!!? 😄😄😄.
Na yawe machozi ya furaha na faraja, ni mwendo kusonga mbele kwa mbele hakuna kurudi nyuma.
 
Hapa sasa ndiyo unaona umuhimu wa Mshana ku share huu ubunifu, ukijfanyia mwenyewe bustani yako nyumbani au shambani kwako unakuwa Salama zaidi. Halafu nchi yetu bado inayo mapori mengi haishindikani ni uamuzi tu
 
Mvua za masika sio hizi za joto likipanda.. By the way huo ni mfano tuu unaweza kuongeza.. Na hapa ndio ubunifu ulipo sio kuchukua kama ilivyo bali kukupa kichocheo cha kuboresha zaidi
Anayebeza bati moja kujaza pipa, mwambie atengeneze gata fupi urefu huo wa hilo bati moja aliseti akinge kwenye paa la nyumba ashuhudie miujiza.

Kama itanyesha mvua kubwa sawa sawa, mbona pipa hilo litafurika hata kabla mvua hiyo haijakatika!
 
Fanya wewe mkuu sio kazi jukumu la wengine kufanya kila kitu exclusively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…