kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Wewe unatuambia hivyo ukiwa km nani, tupuuze tukusikilize wewe km nani yaan kwa mfano? Hatupuuzi mambo kirahisirahisi hivyoNaomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama
Insiders haoWewe unatuambia hivyo ukiwa km nani, tupuuze tukusikilize wewe km nani yaan kwa mfano? Hatupuuzi mambo kirahisirahisi hivyo
Hakuna cha insiders hapoInsiders hao
Ila Mange anawatoa sana jasho nyinyi jamaa mliofeli mtihani wa kidato cha nne.Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.
Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.
Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.
Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.
View attachment 3503605
He's absolutely triggered.Kwani unaumia wapi?
Bila shak elimu yako ni ya hapa na paleNimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.
Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.
Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.
Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.
View attachment 3503605
Kula posho za ccm kojoa kalale, watanzania wa sasa Habari zote za mange wanasoma wanaangalia kila mmoja anatafakari kivyake, watu wa ccm acheni kuwapingia watu jinsi ya kuamini au kutoaminiNimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.
Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.
Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.
Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.
View attachment 3503605
Wanataka watz tukaangalie tbccm hahahhhaKula posho za ccm kojoa kalale, watanzania wa sasa Habari zote za mange wanasoma wanaangalia kila mmoja anatafakari kivyake, watu wa ccm acheni kuwapingia watu jinsi ya kuamini au kutoamini
Wee nae juha tu badala kuja evidence ya kuprove wrong unaleta umbumbumbu wakoNimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.