Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

Nampongeza Mange kwa kazi nzuri anayofanya ya kuzidanganya nyumbu ziingie kwenye mkenge ili ziuwawe kama alivyozidanganya October 29 kuwa jeshi liko upande wao.

Operation hii ya kuuwa nyumbu ni ya muhimu sana kwenye nchi yetu tunaomba mange aendelee na moyo wake wa kizalendo wa kuzidanganya nyumbu hadi pale zitakapouwawa zote na kuisha.
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
Kila mtu ataguswa kwa wakati wake
 
Kula posho za ccm kojoa kalale, watanzania wa sasa Habari zote za mange wanasoma wanaangalia kila mmoja anatafakari kivyake, watu wa ccm acheni kuwapingia watu jinsi ya kuamini au kutoamini
Kwamba bunduki za wajeda dar hazikua na risasi, risasi zilikua songea,wajeda walizurura na matoi tu..na unaamini

Walisema wajeda hawakuua raia, halafu leo wajeda wamepewa hela kama Asante ya kuua raia,na bado unaamini
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
Mange anawajambisha sana
 
Fact hujibuwa na fact sio maelezo.

Wote hatuwaamini hata na wewe pia.
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
IMG-20251118-WA0056.jpg
 
Wewe ndo mpuuzi na hujui mambo!

Hakuna mwanajeshi wa jeshi la Wananchi analipwa ration allowance tarehe 15, wote huwa wanalipwa kuanzia tarehe 29 mpaka 31 sasa wewe hiyo ya katikati ya mwezi umeitoa wapi?

Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa zama zimebadilika kufikia mpaka Wanajeshi kuhongwa na serikali.

Polisi nao hivyo hivyo ila wao wanaenda mpaka hata tarehe 3 na ikichelewa sana mpaka tarehe 5.
 
Mange anakuzidi kila kitu, wewe ni kunguji tu wa CCM na hata huko ccm hawakujui pia
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605

Binafsi nimewahi kuwa mfuasi na mfuatiliaji wa Mange Kimambi mpaka pale ambapo taarifa zake kuhusu Jeshi kuwa upande wetu zilipokinzana na uhalisia. Pia, kutuambia kuwa wanajeshi wametaka mali zichomwe ili wapate excuse ya kuchukua nchi, then watu waandamane masaa 72 ili kufikia vigezo vya nchi kuchukuliwa na jeshi na kupeleka majeruhi hospitali ya Lugalo na wakifika 200 kwa idadi, basi JWTZ watapata uhalali wa kuchukua nchi. Vijana tukahamasika na kufuata bila mafanikio, na mwishowe kuambulia kuuwawa na jeshi hilohilo.

Pili, kuja kutuambia kuhusu uapisho wa Samia huku anajiliza uongo, na kusema kwamba ameamuru watu wauawe kama Zanzibar walivyofanyiwa hapo awali, na yakatimia kama alivyosema.

Swali langu ni, kwanini alieneza taarifa zisizokuwa na uhakika bila kutoa disclaimer mpaka watu wakauwawa lakini baada ya hapo, hakuomba msamaha wala kujieleza sababu za kutupotosha kiasi cha kugharimu uhai wa maelfu ya wa Tanzania?

Asingetuambia kuhusu JWTZ, tunge assume kwa usahihi kwamba tuko peke yetu na tungejua namna ya kujihami kwa akili na mawazo yetu wenyewe.

Kwakua mpaka leo, anaendelea na umbea wa kisiasa bila hata kutueleza kilichojiri wakati anatupotosha, inanifanya nimshuku sana kuwa ni DOUBLE AGENT.

Pia, kutajwa na AG mteule kuwa akamatwe, ni sababu nyingine inanyotia mashaka, kwani, wakitaka kuteka, huwa wanateka/kudhuru watu kwa siri au lugha za mafumbo. Msisahau ugomvi wake wa kuigiza na wasanii wa kibongo.

Waliochochea maandamano ni pamoja na wanaharakati wengine wakiwemo watu wa Chadema, iweje yeye tu ndiye atajwe hadharani jambo ambalo Mange alimjibu hadharani kupitia instagram yake kana kwamba wanajuana kwa vilemba/nyuma ya pazia?

Watanzania wenzangu nawapenda lakini ni wepesi sana kudanganywa na kudanganyika. Jambo ambalo linanisikitisha sana. Yaani, nchi nzima inawezaje kudanganywa na mhuni, mchambaji na mwenye personality ya hovyo kama ya Mange Kimambi?

Halafu, Abduli amejuaje anwani ya nyumbani anakoishi Mange? Ule mgogoro wake wa hela baina yake, serikali na CRDB unajua ulihusu nini (Ni App au yalikuwa malipo ya double agent influencer toka CCM)? Una uhakika gani ni hela za app? App yake nimeilipia mwaka mzima tangu June 2025 alipoomba support ili afanye siasa full time. Hiyo ni baada ya kuiacha dormant miaka x3. Sijaona taarifa wala umbea mpya yenye mashiko aliyotoa tangu 2022 nilipoiacha.

Unajua hata hoja zake ni mpaka aambiwe cha kusema? Ukimkamata Mange ghafla live, ndiyo utajua kuwa kichwani hamna kitu.

Kuhitimisha, wahenga walisema, Fool me once, shame on YOU, fool me twice, shame on ME! Nipumbaze mara moja, aibu YAKO, nipumbaze mara mbili, aibu YANGU!
 
Back
Top Bottom