Mkuu mambo yamenoga kweli kweli kuna watu hawana hoja ya kisiasa na Waziri Kitwanga kabana chanel zao za upigaji. Sasa wameamua kumzushia vitu ata ukiangalia haviingii akilini ufisadi wa Lugumi ila anaeliliwa kuwajibishwa Kitwanga yani ni siasa chafu tupu za wapiga dili.Mambo yazidi kunogaaa, lete utamuu babaaa
Mkuu wakati Magufuli na serikali yake wakipambana kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa juhudi kubwa kuna watu wanapambana kuona hafanikishi hilo kwa manufaa ya vyama vyao na dili zao. Kelele nyingi ila ndio mafisadi wakubwa tungewaachia funguo ya hazina tungejuta sisi na vizazi vyote.Haha utokaji wa hii taarifa na contribution za mwanzo umeniacha nikicheka.
Anyway mimi pia naona chuki tu binafsi na wivu wa baadhi ya watu. Kitwanga ni mtu safi kabisa.
Kweli kbs. Ila kwa hili la kitwanga naona vita anapigwa na watu wenye wivu waliomo humohumo CCM. Sidhani kama ni wapinzani. Namfahamu kitwanga vzr. Haya mambo anasingiziwa tu. Ni wivu na chuki binafsiMkuu wakati Magufuli na serikali yake wakipambana kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa juhudi kubwa kuna watu wanapambana kuona hafanikishi hilo kwa manufaa ya vyama vyao na dili zao. Kelele nyingi ila ndio mafisadi wakubwa tungewaachia funguo ya hazina tungejuta sisi na vizazi vyote.
Ndio maana nimesema vyama vyao na dili zao yani wote wote hii ishu imewaunganisha.Kweli kbs. Ila kwa hili la kitwanga naona vita anapigwa na watu wenye wivu waliomo humohumo ccm. Sidhani kama ni wapinzani. Namfahamu kitwanga vzr. Haya mambo anasingiziwa tu. Ni wivu na chuki binafsi
Haijalishi nani ni muanzulishi wa uzi, ila kilichomo ni maelezo yaliyonyooka tu, next step kwa wanahabari ni kuitafuta Biometrica na kupata ufafanuzi wao juu ya hii issue, maana maistream ya habari tz haitaki kutafuta ukweli, wao ni kupakua habari jamiiforums na kuziweka kwenye magazeti yao tu.Huu Uzi umeanzishwa na kitwanga ili ahadae watanzania.chief!hana pakutokea kwenye hili sakata la lugumi!