mwakaboko JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,931 Reaction score 757 Apr 18, 2016 #181 Tuko said: Acheni kumhusisha Magufuli na madudu ya Kitwanga... Kama amechafuka ni yeye, sio Magufuli. Click to expand... sijui kama ulielewa nilichopost!!!!
Tuko said: Acheni kumhusisha Magufuli na madudu ya Kitwanga... Kama amechafuka ni yeye, sio Magufuli. Click to expand... sijui kama ulielewa nilichopost!!!!
mwakaboko JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,931 Reaction score 757 Apr 18, 2016 #182 Wambandwa said: Nchi hii iko hoi bin taaban kwa sababu ya utawala uliopita, kisiasa na na ki kimajipu ukimuhusisha JPM. Isitoshe yeye ni ni Rais aliyeokota dodo kwenye muarobaini.... naye anajua ni ni akina nani wamemfanya awe rais Click to expand... Asante, ila kazi bado nzito. Maaaaaaanaaa nadhani madudu ni mengi kuliko maelezo
Wambandwa said: Nchi hii iko hoi bin taaban kwa sababu ya utawala uliopita, kisiasa na na ki kimajipu ukimuhusisha JPM. Isitoshe yeye ni ni Rais aliyeokota dodo kwenye muarobaini.... naye anajua ni ni akina nani wamemfanya awe rais Click to expand... Asante, ila kazi bado nzito. Maaaaaaanaaa nadhani madudu ni mengi kuliko maelezo