Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Huko baharini wamefanya kipi cha ajabu, hawakasiriki binadamu kuvamia makazi yao, kurusha makombora huko, kupitisha nyambizi, meli kubwa.
Kero zote hizo hawajitokezi kukemea?
Binadamu anaitumia bahari kwa 2.0,% tu kuna sehemu hata hakuna aliyegusa maana hata kupeleka vyombo huko ni very risk just imagine Mariana trench kunavyotisha vile fa masikhara nini?
 
Mwanzo 6:4
4 Wanefili walikuwako duniani siku hizo, na baadaye, hao wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu na kuzaa nao. Wanefili walikuwa mashujaa na watu waliojulikana wa zamani hizo.



Hesabu 13:33
33 Tuliwaona Wanefili huko (wazao wa Anaki wanatokana na Wanefili.) Tulijiona kama panzi machoni petu wenyewe, nao ndivyo walivyotuona.”
 
Naomba niandike huo mwaka 6,0000 kwa maneno ili tujue unamaanisha miaka mingapi iliyopita.
 
Haviendani kivipi?
Kipi hujaelewa hapo ufafanuliwe mkubwa!
Umesifia sana iyo michoro ila mimi nimeizooom sijaona chochote cha maana.. generation hii ni bora kuliko hao waliochora hiyo miamba, kwasababu hatujaishia tu kuchora bali tunafanya vitu vinavo onekana na kuleta matokeo makubwa...
Ukiulizwa hiyo michoro iliwasaidia nini utasasema?
 
Labda hujajipa muda wa kufuatilia na kudadisi kuhusu accient civilization,
Leo hatuna tech ya kuwafikia hao hata robo ndio safari inaanza tena kwa ku copy hao hao mfano hata huu umeme tunaotumia wa AC Nicola Tesla alicalculate formula alizopata kwenye tablet za Khemet tena anaenda mbali na kusema zile Pyramids za giza zilitumika kama Magnetic wireless Power plant za kuzalisha umeme ulitumika na gods Annunak kuendesha migodi ya dhahabu na kuendesha Spaceships to space,
Kumbuka hiyo michoro hapo inaonesha Constallations kama Orion na Andromeda ambapo huko zinatoka race za reptilian zilizowahi kuexist hapa Duniani mamilioni ya miaka iliyopita kabla binadamu hajakuwepo,

Ndio maana kama unataka kujua hayo mamichoro inatakiwa ujue historia ya Humanoid hapa Duniani na ulinganishe tech iliyotumika kuichonga hapo!
 
Kingine hiyo michoro ni Symbols na signals kama zilivyo Nazca lines kule Peru au zile Baalbek stone zinazoonesha Spaceship ground!
 
Hamna cha ajabu hata chembe.Na miaka 6000 nyumba katika umri wa dunia ni karibuni sana.Sasa sijui umeshangazwa na nini.
Kama kuna cha kujifunza ni kuwa waliojua hayo mambo yanayoonekana ya ajabu walifunzwa na yule yule anayetupatia ujuzi sisi wa sasa.Ambae kuwepo kwake hakuna mwanzso na mwisho wake haupo.
 
Hivo vitu unavo nitajia nivigeni kwangu ntajaribu kuvigugo nione pengine naweza pata elim mpya? Ila yoote unayo sema niyakufikirika watu wa sasa wamefanya makubwa yanayo onekana, mbona hatuoni impact ya hsyo mamichoro?
 
Hivo vitu unavo nitajia nivigeni kwangu ntajaribu kuvigugo nione pengine naweza pata elim mpya? Ila yoote unayo sema niyakufikirika watu wa sasa wamefanya makubwa yanayo onekana, mbona hatuoni impact ya hsyo mamichoro?
Duu aisee mkuu huo ni ustaraabu wa kale mkuu,
Kiufupi hii Dunia iliwahi pitia maendeleo makubwa sana katika Science na Teknolojia mara elfu kuliko tulivyo leo,

Ushahidi wa kimazingira unaonesha hapo kale Dunia ilipata kua na ustaraabu unaohusishwa na viumbe wageni yaani Alliens,
Either ni Humanoid, Reptilian nk ambao waliweza kufanya mambo beyond of limitations kiasi kinachoacha ushihidi wa kushangaza sana!
 
Mfano?
 
Naona kwako hakuna ajabu ok ngoja sisi tunaoshangaa tuendelee kushangaa,
 
Dah..hii.mistari inafirikisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…