Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Yes huyo ni mother goddess anampa uhai huyo kiumbe,
Hii ndio prove mojawapo ya kwamba Annunak walifanya
Human creation through Advanced technology!
Ok sasa hawa waliumba binadamu pekee yake ana hadi akina sisismizi, tembo, mamba,chatu na mimea yote ? Kama SIO hivyo aliumba nani ? Na kama NDIO mbn hakuna hadithi zake
 
Ok sasa hawa waliumba binadamu pekee yake ana hadi akina sisismizi, tembo, mamba,chatu na mimea yote ? Kama SIO hivyo aliumba nani ? Na kama NDIO mbn hakuna hadithi zake
Kuna nadharia mbili zenye utata kuhusu Anunaki mosi ni ile inayosema waliwakuta viumbe primitive hapa Duniani wakawaongezea DNA,
Nyingine ni ile walitumia genetic Manipulation yaani walichukua DNA zao wakafanya kiumbe wa kufanana nao au vyote kwa pamoja,
Wao wanadai Ulimwengu ikiwemo na wao uliumbwa na Father of all,
Ila wao ndio wakamuumba Mwanadamu na kwenye tablets zao inaandikwa ubishani Kati yao namna wanavyopingana kumuumba Mwanadamu Sio jukumu lao ila wanakubaliana hawaumbi ila wanafanya genetic Manipulation!
 
Sawa sawa nakupata vyema means kuna mwenye uwezo zaidi ya wao ? Annunak ni jamii au kundi fulani hv kutoka huko kwao ?
 
Sawa sawa nakupata vyema means kuna mwenye uwezo zaidi ya wao ? Annunak ni jamii au kundi fulani hv kutoka huko kwao ?

Yeah walikua ni viumbe waliokua advanced kwenye science na tech walikuja mamilioni ya miaka iliyopita kutafuta metal,
Dhahabu ndio ilikua lengo lao kuu na ndio waanzilishi wa human civilization,
Hao waliitwa Miungu hapo kale kutokana na science na Technology waliokua nayo iliwafanya waabudiwe kwa uwezo mkubwa waliokua nao na watu wa kale!
 
Sii vibaya sana kufikiri nje box, ni hatua nzuri, lakini ingia ndani zaidi Ili kujua chanzo chote cha ustaarabu huu, dini hizi nk. Kiufupi ni kuwa dunia ilianza na dini zilianzia ktk ustaarabu wa jamii, ya Wasumeriani, hawa waliamdika historia ya jinsi dunia ilivyotengenezeka, binadamu alivyo endelezwa, kuuzwa, badilishwa/modified kwa genetic engineering, akapewa teknolojia na kupata maendeleo makubwa sana enzi zile, "golden age" nk.
Shida yetu kubwa WATANGANYIKA ni wavivu wa kusoma, kufutilia historia na kufanyia utafiti.
Tuanze sasa.
 
Hao viumbe waliokuwepo kabla ya binadamu nafikiri ni wale Malaika walioasi na kutupwa duniani
 
Hao wanefeli ni zao la Malaika walioasi na binadamu yaani Hao Malaika waasi walizaa na binadamu
 
Mkuu hatari sana Haya mambo ngoja kwanza kabla sijakupa maelezo angalia huu kwanza,angalia vizuri uone mwenyewe kama hao walikua ni viumbe wa kawaida!

Ukweli ni kwamba kulikuwa na Malaika waasi na Mungu alipoamua kumuuamba binadamu wenyewe wakaamua kuzaa na binadamu ndo hao Majiants wakazaliwa na wakawa na uwezo na maarifa makubwa na binadamu.na wakati na miili mikubwa wanaanza kuwamaliza binadamu wa kawaida.Malaika wa mbinguni wakaona vita kubwa ikatokea.
 
Kingine hao walikua magiant sana yaani hapo binadamu kwao ni kama wewe unavyomwangalia nyau 😁

Kiufupi hao miungu walikua ni waajabu sana just imagine huyu ndio Lord Enki na huo ndio tree of life akichota ma power!
Acha upotoshaji hao sio miungu ni Malaika waasi na mkuu wao shetani.hao Malaika waasi wakazaa na binadamu na hao Majiants wakazaliwa.ndo waliowafundisha binadamu maarifa mbalimbali.
 
Lie
 
Acha upotoshaji hao sio miungu ni Malaika waasi na mkuu wao shetani.hao Malaika waasi wakazaa na binadamu na hao Majiants wakazaliwa.ndo waliowafundisha binadamu maarifa mbalimbali.
Tatizo lako unataka uelezee Annunak Chronicles kirahisi sana kama umesoma history kwenye bible verse na unajifanya mjuaji nakupa pole sana Hao unaowaita Malaika wenzako wasumeria,Kemet,India, Wamaya,Waaztec Wana vitabu vyao
Umewahi soma
Sumerian tablet?

Kama hujawahi soma THE CHRONICLES OF ANNUNAK huna ubavu wa kubishana na mimi kacheze na watoto wa Sunday school huko,

Hizo level zako za kusema ni Malaika waasi tumeshasoma sana tena najua wale 12 Fallen angels wakiongozwa na Semyaza, Azazel nk
Walioshuka Mlima Hermon na kuwafundisha binadamu ujuzi na kuiharibu Dunia mpaka saga la gharika la Nuhu,😁
Sasa kwa taarifa yako najua mpaka namna walivyofungiwa kwenye giza na El / JEHOVA Mungu mkuu au LORD GOD the Creator mpaka judgement,

Mkuu punguza ujuaji najua unajua ila unajua kipande kidogo cha story wenzio tumeenda fall away mpaka kujua ya kwamba Hao unaowaita Malaika wenzako waliwaita gods Annunak Nephilim from Nibiru Extraterrestrials being walioanzisha ustaraabu unaohusishwa science na Technology za kale tena hatari kutushinda mara elfu
So who are they?
Hapa tunawaelezea kwa mtazamo tofauti na wa dini
Shabhashhhh!
😁😁😁
 
Najua unajua ni Malaika na mimi najua hivyo ila wenzio tumejiongeza kusoma na Maandiko mengine kuwajua Hao kwa kina,,😁
Na hapo Hao Malaika hawakuzaa tu pia walifanya
Cloning ya viumbe mbalimbali ikiwemo Binadamu na wanyama na wakafanya Hibrid ya kufa raia na ndio ukawa Mwanzo wa kupata mazao tuliyonavyo leo na wanyama mbali mbali ambao tunao mpaka leo na hawakuishia hapo Mahistorical sites yote ya kale kuanzia Pyramids walizotumia kuzalisha umeme wa mionzi yapo na kama hujui nakujuza
Pyramid za giza kule Misri Sio makaburi ya Pharaoh's kama ulivyo aminishwa 😁
Huo umeme unaotumia Wa AC aliugundua Nicola Tesla na formula ni zile zile Pyramid tena hata project hakumaliza yaani alikua ana test zari tu akagundua huu umeme yaani jamaa alitaka atuletee umeme wireless dunia nzima tena bure kabisa 😁
Imagine leo tusingekua na TANESCO ila wakamharibia baada ya kuona atakuja fanya balaa huyu yaani hapo ni test tu imagine angekuwepo mpaka miaka ya 70 Hii Dunia ingekua na tech ya hatari
Usione Elon musk anamiliki Tesla company kwa bahati mbaya na unajua balaa lake huyo kakopi tu angekua yeye muhusika unadhani kingetokea nini?

Kuna mavitu kibao ingia usome acha ujuaji utakosa uhondo shauri zako
Badala ya kujikita kubisha ingia field ujisomee
Sawa mkuu?
Ushauri tu!
😁😁
 
Hii comment Yako iende kwa passioner255
 
Hii Dunia yetu, haiko kama tunavyoiona!,

inaendeshwa na kikundi cha watu wachache, wenye mwanga wa kuijua kweli, lakini wanatumia nguvu kubwa kuficha baadhi ya maarifa...ili tuishi gizani milele!

Pengine tukiijua ukweli halisi kuhusu hii dunia,....itakuwa si mahala salama tena! Pengine hofu itatamalaki zaidi!

Ni vyema tuendelee kuishi hivihivi kwa kuyajua hayo machache tu kati ya hayo kikundi cha watu wachache waliyoamua sisi tuyajue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…