Sii vibaya sana kufikiri nje box, ni hatua nzuri, lakini ingia ndani zaidi Ili kujua chanzo chote cha ustaarabu huu, dini hizi nk. Kiufupi ni kuwa dunia ilianza na dini zilianzia ktk ustaarabu wa jamii, ya Wasumeriani, hawa waliamdika historia ya jinsi dunia ilivyotengenezeka, binadamu alivyo endelezwa, kuuzwa, badilishwa/modified kwa genetic engineering, akapewa teknolojia na kupata maendeleo makubwa sana enzi zile, "golden age" nk.
Shida yetu kubwa WATANGANYIKA ni wavivu wa kusoma, kufutilia historia na kufanyia utafiti.
Tuanze sasa.