FATHER OF REALITY
Senior Member
- Nov 3, 2014
- 123
- 100
kwa show game gaucho yuko poa lakini hajadumu kwenye game bana..
Jay Jay Okocha alikuwa na show-game na kuleta impact kwenye timu na amedumu kwa kipindi kirefu, sema tu ni mwafrika ndio maana historia yake imefutika kwa kipindi kifupi
To me okocha alikuwa na kiwango kikubwa sana cha kucheza na mpira, kiukweli alikuwa na madhara kidogo sana ukifananisha uwezo wake wa kuchezea mpira, hilo ndio lilimwangusha okocha, nina bahati nimemwona vizuri sana na baadaye gaucho pia. hili la kwamba kabaniwa kwa sababu ni mwafrika nafikiri mkuu umekariri mesemo ambayo hujaifanyia kazi kiufasaa. kama wazungu kuchukia wanachukia rangi nyeusi kusifiwa na si uafrika au unini sijui wao ishu ni rangi nyeusi, ndo shida. hebu tujikumbushe wachezaji wengine kipindi cha okocha au hata kabla yake.
- george opong weah alichukua uchezaji bora wa ulaya na baadaye wa dunia, vipi hapo?
- afu unacheza timu gani, ligi yenye ufundi kiasi gani, timu inashiriki mashindano gani, usisahau hizo fact, ni muhim sana, okocha kacheza, ufaransa, ujerumani na si munich, bayer leverkusen wala welder bremen wala borussia, toka hapo karudi wingereza sio man u, wala chelsea, wala aresernal, wala liverpool.
- kashiriki uefa akiwa na psg, na alifanya nini, na kipindi hicho psg ya kiwango gani, lazima ujiulize
- kutokana na madhara ya kawaida kabisa ya okocha timu kubwa hazikupigana vikumbo kumchukua, na kuna transfer 3 okocha katolewa free.
- okocha alikuwa mzuri sana kuchezea mpira ila alikuwa na uwezo wa kawida katika kuorganize timu kama kiungo mshambuliaji, kuwatafuta maforwad, hilo ni tatizo kubwa sana kwa mafanikio ya timu, tatizo hilo hilo liliwahi kumkuta hata rivaldo, wabrazil kwa ujanja wakamshauri abadilishe namba, ahamie namba kumi uwanjani, hivyo akawa anasaidia tu midfielders but not complete, ndipo akwa na madhara mno na success ikaja.
- kingine mkuu, kuna wachezaji walicheza muda mbaya yaani okocha na henry wenye rangi nyeusi kwa weupe tucheki kama nao walibaguliwa, mf, hawa hapa dell piero, nyota yake ilizibwa na wear na de lima, the victims wengine walikuwa, baggio alizimwa na romario, shearer, mc manaman, david ginora, george hagi (mromania), zamorano, salasi, simeone inzaghi, mdogo wa philipo, diego simeone, raul, redondo, pavel nedved, mandieta n.k. Usisahau hawa ni wachezaji waliokuwa hatari sana ila muda wao ulimezwa na magwiji ambao kulikuwa hakuna ubishi walikuwa comp[lete players kwa ufundi na madhara. hivyo hao na uzungu wao wote walipanga foleni kwa waamerika na kina zizzou na figo.
leo seacrh mtandao wowote tafuta mchawi wa mipira ya ajabu web iwe ya wazungu, waafrika au waarabu, okocha utamkuta pale.
Mkuu pia uwe na data kamili gaucho kwenye ground ana miaka 16, wakati okocha toka scratch kadumu miaka 9, hapo gaucho namhesabia alipoanza kuvuma team ya taifa 1999 after world cup, akacheza vizuri sana akafanikisha kuchukua copper amerika, ukijumlisha gaucho toka anachukuwa uchezaji bora wa dunia under 21, utapata miaka kama 19.
Gaucho, alikuwa na madhara na unono, vyote pamoja. hiyo ilimpandisha mno, kama vp mkuu mimi ndo burudani yangu ni pm, nikumpe video za zaidi ya wachezaji 25 waliotamba na wanaotamba, utang'amua nisemayo mkuu.
kuhusu mleta maada, kuwa makini wazungu hawfurahii mtu mweusi kama mkaa yaani pele aendelee kuwa mfalme wa soka, wangependa awe mweupe hata kama anatoka afrika, lakini waliomwona ni wengi tu bado wapo, na bado wanaona na leo, wanasema bado, labda tufunge ukrasa wa karne hii tusubiri, maradona na pele walikuwa very very granted.
BINAFSI NLICHOONA KUPITIA VIDEO ZA PELE NA MARADONA WALIKUWA COMPLETE PLAYERS. YAANI;
- Wafungaji
- Wapiga chenga
- Wapiga faulo, yaani kaka wanafunga mno
- wanaamua matokeo
- hawakabiki
Kumbuka mimi ni wa kizazi cha leo sina sababu ya kuwatetea tetea pasipo sababu, walikuwa granted, ni kama jamaa alivyosema kuhusu okocha, tunapoambiwa vitu vyake ilikuwa magic, kuna mtu atakuja miaka 245, atona watu wakibetua mipira kwa nyuma kiajabu afu atwambie huyo okocha hamna kitu, afu sisi tunasema tumewaona wote, okocha ni kiboko yeye akabisha.
NI PM NKUPE KITU CHA OKOCHA HAMNA ANAYEPIGA, NI CHA AJABU, YEYE ANAFANYIWA INTERVIEW ANAELEZA ANAVYOFANYA, NA ANARUDIA KAMA MARA NNE UWANJANI WANAPOMUHOJI AFU WANAONYESHA ANAVYOFANYA KWENYE MECHI.