Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

[/B]
Mi naona kama huelewi ulichokiandika,sasa ulitaka aweke rekodi gani ambayo ni eksepsheno kwa messi na cr7? maana kama ni kufunga magoli hao unaowataja hawajavunja rekodi za dunia,wamevunja eiza rekodi za ulaya au hispania,wewe ulitaka aweke rekodi gani tofauti na wanayoweka kina messi?

Messi ana rekodi ya dunia ya kufunga magoli mengi zaidi katika mwaka mmoja!, Ronaldo ana rekodi ya a dunia ya kupata hat tricks nyingi katika musimu mmoja! Na wote wawili wamemzidi Gaucho kwa Kuwa na ballon D'Or nyingi kuliko Gaucho, messi ana nne, na Ronaldo ana Tatu wakati Gaucho ana mbili tu. Haya njoo hapa utuwekee rekodi za Gaucho za dunia kama ubavu huo unao!
 
hah hah hah hah eti ligi ya peke yao...
hah hah hah dah kweli kama hujui soka basi hujui tu.
hebu kenua mijicho hio usome hii formula hapo chini...

NESSI + CRISTIANO = RONALDINHO LEFT FOOT

Hujaribu swali langu, nimekuuliza kuwa, Gaucho alituliza mpira kwa mgongo halafu inakuwaje?, nini tija yake? timu yake inanufaikaje na manjonjo hayo?
 
mburudishaji mwenye world cup na coppa america.

haya huyo kitunguu swaumu wenu anazo medali za makombe hayo?

na atabaki hana tuzo hizo mpaka atakapostahafu soka...

Sawa basi na Torres ni bora kuliko Messi na Ronaldo
 
kwi kwi kwi kwi dah we kweli ni special wa MEMKWA..

Hivi unakumbuka misimu miwili mfululizo Naabii aliobeba tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia?
je unaweza kunitajia wachezaji 10 tu waliogombea tuzo hio?

mbona hueleweki mara unasema tuzo za dunia ni za walevi mara dinho kabeba mara mbili mfululizo unamsifia kipi nielewe
 
Ina leta tija gani kama mtu ambae anaepima ubora wa mchezaji kwa timu ya taifa tuu, ni heri kumuacha kuliko kuanza kujibizana kwa mambo yasiyo na msingi. Ni kama wewe ulivokalia na Record za timu yako huku ikiangamia.


Kwa hiyo Dinho katwaa makombe akiwa Na timu ya Taifa tu?
 
Sijakujibu sababu naona ni ujinga, hata wewe ungekuwa na timu ya Brasil huku una De Lima, Carlos, Cafu, Dunga n.k usingeweza kubeba kombe?
Kama kweli Gaucho alikuwa ni mzuri sana mbona hakuipa Barca mataji mengi kama Messi ambayo ameipatia? Eti Gaucho ndo aliinua Barca, ina maana kabla ya Gaucho Barca haikuwa na makombe ama!!??

Swali linakurudia mwenyewe hapo kama Messi mkali aipe makombe Argentina especially,maana WC ndo kilele cha mafanikio
 
Messi ana rekodi ya dunia ya kufunga magoli mengi zaidi katika mwaka mmoja!, Ronaldo ana rekodi ya a dunia ya kupata hat tricks nyingi katika musimu mmoja! Na wote wawili wamemzidi Gaucho kwa Kuwa na ballon D'Or nyingi kuliko Gaucho, messi ana nne, na Ronaldo ana Tatu wakati Gaucho ana mbili tu. Haya njoo hapa utuwekee rekodi za Gaucho za dunia kama ubavu huo unao!

Hakuna utukufu unaozidi utukufu wa kubeba kombe.la dunia
 
Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge
 
Sipendi ubishi wa kitoto ndo maana nimeamua kukaa kimya. Ukimya ni jibu murua sana, kama kuandika hayo marekod basi PNC 1 ameshazileta humu, sijataka kuzileta ili kuepusha haya mambo.

Ungekaa kimya ingekuwa.jambo la maana zaidi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom