2005 UN,AU,EAC na watetea haki wote washaamka isingewezekana labda 1999 kushuka chini
By the way
~Tsh ingekuwa kama dollar
~World Cup ingepigwa hapa kabla hata ya bondeni
~Wangetunusuru na mkoloni mweusi(CCM)
~Miundombinu ingekuwa imara tungekua na SGR za kutosha,Subway daraja la Dar-Znz Mza-Busisi
~Viwanda vya kutosha(Complex kabisa)Kama vya kutengeneza Magari,Fridge,Simu,PC na genuine Gadgets nyingine
~Nchi zinazotuzunguka zingekuwa zinathamini/kutamani kusoma Elimu yetu
~Jeshi lingekuwa imara sana kiasi kwamba linaweza kudindiana na nchi za magharibi au kiduku mfano ungesikia ((Tanzania yaionya Korea kusini juu ya milipuko holela inayosababisha mabadiliko ya Tabia nchi))
~Wawekezaji wangetamani kuwekeza TZ
~Our Technology rate would be superb
~Life expectancy rate ingeongezeka to 75+ years
Changamoto:
~Uhalifu kuongezeka kama S.A
~Migration rate kuongezeka kupita kiasi(Watu kutoka nchi jirani wangeingia sana nchini)
~Siasa zisizoeleweka
~ Overpopulation(Dzm hapo kkoo pangekuwa hapapitiki)
~Vurugu na migomo ya mara kwa mara..kwanini(kwasababu kwenye nchi zilizoendelea watu wanajielewa ikitokea hawaelewi kitu na viongozi wanawapiga kamba lazima waandamane tofauti na zinazoendelea illiteracy ni kubwa mamtu yanapelekwa kama Ng'ombe tu hakuna wa kureason wala nini)
~Madawa ya kulevya yangeongezeka
Imperialism complex mkoloni alikuwa anapenda kujenga sehemu anayoishi (Settlement) kwaiyo hapa TZ kwa ufupi tungetoka kwenye mfumo wa (Developing country) ambayo mtoto wa kitanzania anapozaliwa anaambiwa hii ni nchi inayoendelea mpaka anakuwa mzee na Kukata moto anasikia tu ni (Nchi inayoendelea) instead tungekuwa Developed country
EPUKA MATAPELI WAKOLONI WEUOE RUDINI MTUTAWALE TU *****
Naongezea:
1. Ziwa Victoria lisingekuwa na magugu maji
2. Daraja lingekuwa limeshajengwa Ziwa Victoria
3. Daraja la kutoka Bara hadi Zanzibar lingekuwa limeshajengwa
4. Tanzania ingekuwa inaongoza barani Afrika katika sekta ya utalii
5. Kusingekuwepo na matukio ya vikongwe na maalbino kuuawa kwa sababu ya imani za kishirikina
6. Viongozi wasingekuwa wakipelekwa India kutibiwa
7. Watanzania wengi zaidi wangekuwa na passport za kusafiria
8. Uraia pacha ungekuwa umeshahalalishwa siku nyingi
9. Idd Amin asingethubutu kuichokoza Tanzania
10. Kumiliki gari kusingechukuliwa kuwa jambo la anasa au utajiri
11. Watanzania wengi wangekuwa na tabia ya kuchapa kazi
12. Kungekuwepo na reli na barabara za chini ya ardhi
13. Idadi kubwa ya Watanzania ingekuwa imeshapanda ndege kuliko idadi ya sasa
14. Kasi ya kuzaliana isingekiwa juu kama ilivyo sasa
15. Kungekuwa na idadi kubwa ya Watanzania ambao wameshazitembelea nchi zingine
16. Kusingekiwepo na mbio za mwenge wa uhuru
17. Bandari za Tanzania ndizo ambazo zingekuwa kubwa zaidi na mashuhuri zaidi barani Afrika
18. Kilimo chetu kingeweza kulilisha Bara zima la Afrika
19. Idad ya Watanzania wanaomudu kwa ufasaha lugha za Kimataifa ingekuwa ni kubwa
20. Ugonjwa wa kipindupindu tungekuwa tunausikia kwa mataifa mengine