Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sasa! Hivi ni kiherehere gani kiliwasukuma wazee wetu wawafukuze Wazungu mapema? Si wangewaacha alau kidogo?Honk Kong ilikabidhiwa kwa China mwaka 1997 kutoka kwa UK.
Ni sasa tu China imepanda kiuchumi, lakini miaka ya 90 Hong Kong ilikuwa ina uchumi mkubwa kuliko China yote
Mi nafikiri, maendeleo ya kisiasa na ya kiuchumi huwa yanaenda pamoja. Huathiriana.Kisiasa una maana gani? Je, tuko mbele kisiasa? Kama jibu ni ndiyo, hali hiyo inatusaidia nini?
Isingewezekana iwe tofauti na hivyo.Mwingereza mpaka 2005s aisee timu zetu zingekuwa nazo zinacheza epl na kina manyuu fc
Ila kwa kiasi kikubwa tungekuwa tumeendelea x10 ya sasa hvIsingewezekana iwe tofauti na hivyo.
Mkuu nashukuru nimepata kitu hapa[emoji1363]Ngoja sasa tukupe madini
Mkoloni mfano Mjerumani alikuwa anachimba madini chuma hapa bongo mererani huko anapeleka kwao GER anaziprocess zikiwa chuma nyimgine anauza nyingine anazileta kwenye koloni lake zinajenga reli ili isaidie kubeba Mizigo yake
Baada ya Vita ya pili ya dunia WW2 hakuna nchi ya mzungu ilitamani kukaa nchini kwao kutokana na hali ngumu ya uchumi kwaio hapo ndo wakavamia sana Africa kutafta makoloni
Kwahiyo walipathamini sana wanapoishi mfani mjerumani alijijengea reli ya kati ya TAZARA akajenga mji kama Moshi,Mwanza,DzM n.k kwahyo kutokana na kwamba alipathamini alipokaa Mji wake uliendelea sana na alikua anapeleka waafrika anaowakoloni wengi tu kusoma nchini kwake ili wasaidiane kutawala vizuri
Ila Historia shuleni inafundishwa kuwachukia wakoloni wakati kiuhalisia walikuwa wanaupiga mwingi sana...
Reli ya kati: Dar - Kigoma, ilijengwa na Mjerumani 1905 - 1914 lakini bado inatumika mpaka sasa.Ila kwa kiasi kikubwa tungekuwa tumeendelea x10 ya sasa hv
Kuna baadhi ya miundombinu imejengwa miaka hiyo mpaka sasa hv inatumika
Huyo ndiye Mwalimu wa zamu! Hana utani kwenye zamu yake! Nidhamu lazima itamalaki.Mkuu nashukuru nimepata kitu hapa[emoji1363]
Ndio akili hizi mlizobaki nazo.wakoloni walileta maendeleo kwenye nchi walizozitawala zaidi hapa Africa kuliko baada ya uhuru. Nchi nyingi waliziacha zikiwa katika mazingira mazuri ya kiuchumi na miaka 10 tu baada ya wao kuondoka zikawa zipo kwenye hali mbaya sana.
Moja ya upuuzi wa nchi nyingi za kiafrika ni kuleta ule ujamaa uchwara baada ya uhuru ambao ulizirejesha nyuma kimaendeleo nchi nyingi sana Africa.
Kwa uhakika kabisa tungeendelea kutawaliwa mpaka 2000's nchi yetu ingelikuwa ina miji ya kibabe, viwanda vya uhakika, elimu yenye ubora, miundo mbinu ya kileo pamoja na mifumo ya maisha inayoeleweka kabisa.
Ubaya wa Wakoloni una overatiwa sana, hao wazee wetu waliokuwa wanalia na wakoloni wangelikutana na huu mziki wa CCM wao wenyewe wangelitia akili. hayo maovu yao tunaojaribu kakaririshwa karibu ya yote tumekuwa tukikutana nayo kwa madikteta wetu wa kiafrika na zaidi ya hayo kabisa.
Acha nichukue moja tu, idadi ya watu!Ndio akili hizi mlizobaki nazo.
Utegemezi ni akili ya wafuasi wa kitumwa na baadhi ya wajinga wasiopenda uzalendo.
Hao wakolon wangekuwepo kwa muda mrefu basi haya yangetokea[emoji116]
[emoji117] ubaguzi wa rangi,
[emoji117] ukabila
[emoji117] ardhi kumilikiwa na wachache haswa walowezi
[emoji117]nchi kumilikiwa kwa % na jamii za walowezi ambao si wazawa bali wahuni/wana wa wakoloni
[emoji117] mauwaji+ ubaguzi wa raia
[emoji117]tamaduni kudhoofika
[emoji117]idadi ya watu isingekuwa kubwa sababu ya kushinikizwa kufuata sheria za kizungu kuhusu mambo ya uzazi na baadhi ya watu haswa wazawa wangekufa sana ktk kesi za kusingiziwa, ubaguzi, kulinda maslahi, na si ajabu wengi humu msingekuwepo.
Hakuna maendeleo yanayoletwa na mgeni cha msingi jengeni vya kwenu acheni kutegemea misaada ya kijinga, kwan wao nchi zao aliwajengea nani?
Kwa mindset za baadhi ya wajinga humu hawakutakiwa kuwepo JF
Naongezea zaidi:Naongezea:
1. Ziwa Victoria lisingekuwa na magugu maji
2. Daraja lingekuwa limeshajengwa Ziwa Victoria
3. Daraja la kutoka Bara hadi Zanzibar lingekuwa limeshajengwa
4. Tanzania ingekuwa inaongoza barani Afrika katika sekta ya utalii
5. Kusingekuwepo na matukio ya vikongwe na maalbino kuuawa kwa sababu ya imani za kishirikina
6. Viongozi wasingekuwa wakipelekwa India kutibiwa
7. Watanzania wengi zaidi wangekuwa na passport za kusafiria
8. Uraia pacha ungekuwa umeshahalalishwa siku nyingi
9. Idd Amin asingethubutu kuichokoza Tanzania
10. Kumiliki gari kusingechukuliwa kuwa jambo la anasa au utajiri
11. Watanzania wengi wangekuwa na tabia ya kuchapa kazi
12. Kungekuwepo na reli na barabara za chini ya ardhi
13. Idadi kubwa ya Watanzania ingekuwa imeshapanda ndege kuliko idadi ya sasa
14. Kasi ya kuzaliana isingekiwa juu kama ilivyo sasa
15. Kungekuwa na idadi kubwa ya Watanzania ambao wameshazitembelea nchi zingine
16. Kusingekiwepo na mbio za mwenge wa uhuru
17. Bandari za Tanzania ndizo ambazo zingekuwa kubwa zaidi na mashuhuri zaidi barani Afrika
18. Kilimo chetu kingeweza kulilisha Bara zima la Afrika
19. Idad ya Watanzania wanaomudu kwa ufasaha lugha za Kimataifa ingekuwa ni kubwa
20. Ugonjwa wa kipindupindu tungekuwa tunausikia kwa mataifa mengine
Hadi muda huu ungekuwa mke wa mkoloni. Acha kutetea upumbavu kijana.wakoloni walileta maendeleo kwenye nchi walizozitawala zaidi hapa Africa kuliko baada ya uhuru. Nchi nyingi waliziacha zikiwa katika mazingira mazuri ya kiuchumi na miaka 10 tu baada ya wao kuondoka zikawa zipo kwenye hali mbaya sana.
Moja ya upuuzi wa nchi nyingi za kiafrika ni kuleta ule ujamaa uchwara baada ya uhuru ambao ulizirejesha nyuma kimaendeleo nchi nyingi sana Africa.
Kwa uhakika kabisa tungeendelea kutawaliwa mpaka 2000's nchi yetu ingelikuwa ina miji ya kibabe, viwanda vya uhakika, elimu yenye ubora, miundo mbinu ya kileo pamoja na mifumo ya maisha inayoeleweka kabisa.
Ubaya wa Wakoloni una overatiwa sana, hao wazee wetu waliokuwa wanalia na wakoloni wangelikutana na huu mziki wa CCM wao wenyewe wangelitia akili. hayo maovu yao tunaojaribu kakaririshwa karibu ya yote tumekuwa tukikutana nayo kwa madikteta wetu wa kiafrika na zaidi ya hayo kabisa.
Tungekuwa wale wale. Muda usingetubalisha kitu. Sisi ni wale wale na mambo yetu ni yale yale. Afrika Kusini waliopata uhuru juzi wana nini zaidi ya mateso? Sudan ya Kusini walipata uhuru jana. Wana nini zaidi ya matatizo matupu?Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's.
Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje?
Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na kisha Mwingereza kutoka mwaka 1975 hadi 2005 ndiyo Watanganyika wakakabidhiwa nchi yao, hali ingekuwaje?
Majirani zetu wangekuwa wanatuonaje kwa sasa? Wangekuwa wanatuzodoa au wangekuwa wanatuonea wivu?
Tanganyika ingefanana na South Africa au ingechoka kuzidi nchi iliyo choka mbaya Afrika Mashariki kwa sasa?
Watanganyika wangekuwa wanasemaje, "Wazungu wametuchelewesha sana", au, "Bora Mzungu katucheleweshea uhuru?"
Huu ni mfano tu wenye lengo la kufikirisha! Don't take it seriously, please!!!
Baada ya WW2 mjerumani alikuja kutawala Tanzania na akajenga TAZARA? Aisee huu uzi umejaa wapumbavu wengi sana.Ngoja sasa tukupe madini
Mkoloni mfano Mjerumani alikuwa anachimba madini chuma hapa bongo mererani huko anapeleka kwao GER anaziprocess zikiwa chuma nyimgine anauza nyingine anazileta kwenye koloni lake zinajenga reli ili isaidie kubeba Mizigo yake
Baada ya Vita ya pili ya dunia WW2 hakuna nchi ya mzungu ilitamani kukaa nchini kwao kutokana na hali ngumu ya uchumi kwaio hapo ndo wakavamia sana Africa kutafta makoloni
Kwahiyo walipathamini sana wanapoishi mfani mjerumani alijijengea reli ya kati ya TAZARA akajenga mji kama Moshi,Mwanza,DzM n.k kwahyo kutokana na kwamba alipathamini alipokaa Mji wake uliendelea sana na alikua anapeleka waafrika anaowakoloni wengi tu kusoma nchini kwake ili wasaidiane kutawala vizuri
Ila Historia shuleni inafundishwa kuwachukia wakoloni wakati kiuhalisia walikuwa wanaupiga mwingi sana...
Wewe uko tayari mtu aje nyumbani kwako kukutawala?Unaona sasa! Hivi ni kiherehere gani kiliwasukuma wazee wetu wawafukuze Wazungu mapema? Si wangewaacha alau kidogo?