Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

~Wewe CCM imekufanyia nini tangu ikae madarakani miaka 60
~Unataka kusema wasouth wanamaisha magumu sawa na nchi hii?? ficha ujinga we mjinga
 
Nyerere alizingua sana kumnyang'anya mzungu mkate na kuwakabidhi fisiemu
 
~Wewe CCM imekufanyia nini tangu ikae madarakani miaka 60
~Unataka kusema wasouth wanamaisha magumu sawa na nchi hii?? ficha ujinga we mjinga
Wewe mpuuzi unavyoandika kwa amani huku unajamba makande uliyoshiba hapo kwa mume wa dada yako unadhani imetokea hivi hivi tu kimiujiza? Ficha upuuzi wako.
 
Ficha ujinga we mjinga
Baada ya WW2 ndo ukoloni ulipamba moto sijasema mjerumani ndo alijenga TAZARA utakuja kuBANDULIWA
Huna akili kabisa wewe mwalimu mpumbavu. WW2 imeisha 1945 na 1948 kukawa na azimio la umoja wa mataifa la haki za binadamu huku harakati za kudai uhuru zikianza. Sasa huo ukoloni uliopamba moto ulikuwa kivipi?
 
Hivi 2020 mwenge hukuwashwa
 
Tungekuwa wale wale. Muda usingetubalisha kitu. Sisi ni wale wale na mambo yetu ni yale yale. Afrika Kusini waliopata uhuru juzi wana nini zaidi ya mateso? Sudan ya Kusini walipata uhuru jana. Wana nini zaidi ya matatizo matupu?
Sudan Kusini imejitenga kutoka Sudan, sawa na Zanzibar, kwa mfano, ikiamua kujitenga na Tanganyika. Ni mfano tu lakini!!!
 
Dar Es Salaam ingelikuwa ni most beautiful city in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…