Ingieni kwenye page ya Ntibazonkiza kule Insta, anadai wanampigia simu kumrubuni

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana.Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
ni aibu mwanaume kupropagate jambo ambalo huwezi ukalithibitisha.....uongo wa mwanaume, mara nyingi huzua mizozo, ugomvi na hata vita.
 
ni aibu mwanaume kupropagate jambo ambalo huwezi ukalithibitisha. Karama hiyo ni special kwa wanawake tu. kama wewe ni mwanamke, uziwie radhi, endelea tu, maana wanawake uongo si dhambi ni sunnah.....uongo wa mwanaume, mara nyingi huzua mizozo, ugomvi na hata vita.
Sasa wewe umejuaje huyo ni mwanaume au mwanamke?
 
ni aibu mwanaume kupropagate jambo ambalo huwezi ukalithibitisha. Karama hiyo ni special kwa wanawake tu. kama wewe ni mwanamke, uziwie radhi, endelea tu, maana wanawake uongo si dhambi ni sunnah.....uongo wa mwanaume, mara nyingi huzua mizozo, ugomvi na hata vita.
Uongo sio sunna, acha kupotosha.
 
Mambo mengine ata kama lengo ni propaganda Yana Kuvunjia heshma wewe na Jukwaa la michezo Kwa ujumla.

Ni Bora utunge stori Yako ya uongo na kuiwekea mbwembwe ivutie kuliko kumhusisha mtu ambaye anaweza kutupiwa lawama na Kuvunjiwa heshma bila yeye kuhusika na upuuzi wako.
 
ni aibu mwanaume kupropagate jambo ambalo huwezi ukalithibitisha. Karama hiyo ni special kwa wanawake tu. kama wewe ni mwanamke, uziwie radhi, endelea tu, maana wanawake uongo si dhambi ni sunnah.....uongo wa mwanaume, mara nyingi huzua mizozo, ugomvi na hata vita.
kama napropagate c uthibitshe kwenye insta

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ndipo uelewa wako ulipoishia?? Rage aliona mbali kuwaita mbumbumbu!!
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuanzisha mada ambayo haina ushahidi wowote! Unaleta habari zako za insta, jamii forums!!

Ukiitwa mbumbumbu utafurahi, au utanuna?
 
matumaini ya nyau yapo geita hii inachekesha sana

basi tungeuliza mechi ya nyau nani alicheza chini ya kiwango hadi mkashindwa shinda
 
Usiwe choko na ww, kama napropagate c uthibitshe kwenye insta

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa haustahili kuwepo humu kutokana uwezo wako kiakili upo chini sana. Habari umeileta wewe badala ya kutoa habari yenye ushahidi unakuja kutukana watu mnaopishana kimawazo.
Kwanza umethibitisha kama huo ni ukurasa rasmi wa Saidoo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Unawashwa washwa na Yanga sana. Pambana na ice cream kwanza
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Bora kutoshabikia mpira. Kwanini uteseke hivi kiongozi.
 
Na nyie wachezaji wenu walirubuniwa na nani? Once KOLO always KOLO
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe shoga umekuja kutafuta mabwana huku,Siku hizi umeacha kutafuta mabwana Pm.?
 
Huyu bwege mtoa mada matumaini yao ni kwa Geita kudodosha yanga baada ya wao kupigwa cha mkwezi na Azam.
 
Back
Top Bottom