Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like

Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?šŸ˜‚
Nani ni nani kwenye nini?

Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..šŸ’ŖšŸæšŸ’„
Hata zile couple mpya piašŸ’•View attachment 3568009
šŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ¤®šŸ¤®šŸ¤®šŸ¤®
 
šŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ‘ŽšŸ¤®šŸ¤®šŸ¤®šŸ¤®
17a9d4b0-fdca-4aec-951d-4723bbd79e52.jpeg
 
Nimekumithiii mama maleziiiiii [emoji8][emoji8][emoji8].
Mbona uko kimyaa sana jamani, napenda nasaha na shauri zako zinanijenga mnoo..
Yaan ubarikiwe kwa kwelii, [emoji120][emoji120]
M' bless na japo kakeki basi mjukuu
 
Back
Top Bottom