Pole sana dear Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia[emoji120]Morning kipenz
Ni baba, mapenzi ya Mungu yalitimia [emoji120]
Hahahah uzee nimo sana miaka 50 utaniweka kwenye kundi gani sasaSema majukumu.. Uzee hapana!
My brother nipo; Mungu ni mwema.My best friend katika Bwana Heaven Sent na yule mwingine heaven light
Hivi mshahara mzuri wa kujikimu mahitaji yako kwa bongo kila mwezi inatakiwa kuwa shilingi ngapi?
๐๐๐๐๐๐๐คฎ๐คฎ๐คฎ๐คฎKila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?๐
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..๐ช๐ฟ๐ฅ
Hata zile couple mpya pia๐View attachment 3568009
Cocaaaaaaa nimekumith jamaniHeaven Sent mama malezi wangu [emoji8][emoji8]
Nimekumithiii mama maleziiiiii [emoji8][emoji8][emoji8].Cocaaaaaaa nimekumith jamani