Ingizo jipya Kwa wanywaji wa pombekali

Ingizo jipya Kwa wanywaji wa pombekali

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
maziwa-mala-sour-milk-natural-yogurt-buttermilk-recipe-main-photo.jpg

how-to-choose-the-perfect-alcohol-for.jpg

Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....

Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...

Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza kutuelezea

Kweli nimeamini tembea ujionee..

Wasalaam
+267
 
View attachment 2545998

View attachment 2546000

Ni nzuri ila inaleta gesi sana na sometimes kiungulia
 
Huyu mvumbuzi wa kuchanganya mazima fresh na pombekali ☺️☺️ Ina staajabisha
 
Binadamu ni wavumbizi sana siku wai shuhudia katika maisha yangu...
 
Mshana kaongea yote, nachojua labda unywe pombe kali baadae utandike mtindi wa baridi pombe inakata faster, au ukinywa pombe kali muda huo unatafuna karanga mbichi au korosho hapo harufu inapungua sana na haulewi haraka au ukinywa pombe kali unasindikiza na maji plain haulewi haraka na harufu inapungua sana au baada ya kunywa tafuta limao piga kama chungwa unavolipiga halafu tafuna vikarafuu kidogo matokeo ni mazuri,
 
Hii issue ni ya kitambo sana! Maziwa na Vodka.....

Cocktail hii inaitwa Russian White
 
Mshana kaongea yote, nachojua labda unywe pombe kali baadae utandike mtindi wa baridi pombe inakata faster, au ukinywa pombe kali muda huo unatafuna karanga mbichi au korosho hapo harufu inapungua sana na haulewi haraka au ukinywa pombe kali unasindikiza na maji plain haulewi haraka na harufu inapungua sana au baada ya kunywa tafuta limao piga kama chungwa unavolipiga halafu tafuna vikarafuu kidogo matokeo ni mazuri,
Very true mshana amesha elezea...Ila huyo jamaa yeye anatumia maziwa kama mixer yake
Kama baadhi hutumia energy drink kuchanganya kwenye pombekali
Dats imenishangaza kutumia maziwa fresh kwenye pombekali
 
View attachment 2545998

View attachment 2546000

Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....

Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...

Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza kutuelezea

Kweli nimeamini tembea ujionee..

Wasalaam
+267
Hiyo ipo,mi kuna mwamba alinitengenezea mchanganyiko wa maziwa na pombe kali na juice flani hivi..ikatokea radha ya ile pombe inaitwa Zanz[emoji1745]
 
Back
Top Bottom