Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....
Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...
Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza kutuelezea
Kweli nimeamini tembea ujionee..
Wasalaam
+267