Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
My Take
Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho.

Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia 20% ulikilinganisha na mwaka Jana .
Hongera sana SSH Kwa maboresho haya.

View: https://www.instagram.com/reel/DTzvl6SCCev/?igsh=MWt2N3d5a21kOHJyZg==
 
Back
Top Bottom