Nani anaamua kimevuviwa au hakijavuviwa ??Kimevuviwa ? Ishu sio mwandishi.
Where is here you said, desciple of Jesus wrote gospel of JohnWe may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side.
Hatuwezi kamwe kujua kwa hakika ni nani aliyeandika Injili ya Yohana, zaidi ya vile tunavyoweza kujua ni nani aliyeandika vitabu vya Mathayo, Marko na Luka. Tunajua kwamba Yohana ni injili tofauti, hata hivyo. Mathayo , Marko na Luka wanafanana sana katika kueleza kwao zinaitwa Injili za Muhtasari, kwa maana kwamba “zina uwiano wa pamoja”—uwiano huo unaonekana wazi zinapoangaliwa bega kwa bega. Mathayo na Luka wanafuata toleo la matukio katika Marko, ambalo wasomi wanafikiri kuwa ndiyo Injili ya kwanza na sahihi zaidi kihistoria.
Injili ya Yohana iliokotwa huko Misiri wakati huo kikijulikana kama kitabu Cha Papyrus 52
Wataalamu wa tarehe wanasema kwamba ni kitabu kilichoandikwa katika ya 64 - 70 AD
Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako Kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu
Yani mtu aliyesema hayo Maneno hadi Leo hii hajulikani ni nani
Source
Website ya Cambridge university
Ni uji wa ulezi lakini haijulikani nafaka zilizotumika.Holy mackerel!
Roho wa MUNGU... na kitabu cha wamakabayo hakijavuviwa mkuu!Nani anaamua kimevuviwa au hakijavuviwa ??
Kitabu cha Wamakabayo kimevuviwa ?
Yohana ana uafadhali ili muongo mkibwa na mzushi ni injili Mathayo kaibua mambo mengi ambao wenzake hawakugusia kabisa, in short bibilia imejaa uongo mwingiWe may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side.
Hatuwezi kamwe kujua kwa hakika ni nani aliyeandika Injili ya Yohana, zaidi ya vile tunavyoweza kujua ni nani aliyeandika vitabu vya Mathayo, Marko na Luka. Tunajua kwamba Yohana ni injili tofauti, hata hivyo. Mathayo , Marko na Luka wanafanana sana katika kueleza kwao zinaitwa Injili za Muhtasari, kwa maana kwamba “zina uwiano wa pamoja”—uwiano huo unaonekana wazi zinapoangaliwa bega kwa bega. Mathayo na Luka wanafuata toleo la matukio katika Marko, ambalo wasomi wanafikiri kuwa ndiyo Injili ya kwanza na sahihi zaidi kihistoria.
Injili ya Yohana iliokotwa huko Misiri wakati huo kikijulikana kama kitabu Cha Papyrus 52
Wataalamu wa tarehe wanasema kwamba ni kitabu kilichoandikwa katika ya 64 - 70 AD
Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako Kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu
Yani mtu aliyesema hayo Maneno hadi Leo hii hajulikani ni nani
Source
Website ya Cambridge university
Basi kimeandikwa na Roho Mtakatifu mwenyeweWe may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side.
Hatuwezi kamwe kujua kwa hakika ni nani aliyeandika Injili ya Yohana, zaidi ya vile tunavyoweza kujua ni nani aliyeandika vitabu vya Mathayo, Marko na Luka. Tunajua kwamba Yohana ni injili tofauti, hata hivyo. Mathayo , Marko na Luka wanafanana sana katika kueleza kwao zinaitwa Injili za Muhtasari, kwa maana kwamba “zina uwiano wa pamoja”—uwiano huo unaonekana wazi zinapoangaliwa bega kwa bega. Mathayo na Luka wanafuata toleo la matukio katika Marko, ambalo wasomi wanafikiri kuwa ndiyo Injili ya kwanza na sahihi zaidi kihistoria.
Injili ya Yohana iliokotwa huko Misiri wakati huo kikijulikana kama kitabu Cha Papyrus 52
Wataalamu wa tarehe wanasema kwamba ni kitabu kilichoandikwa katika ya 64 - 70 AD
Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako Kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu
Yani mtu aliyesema hayo Maneno hadi Leo hii hajulikani ni nani
Source
Website ya Cambridge university
Ilitakiwa ujiulize kama haijaandikwa na Yohana mbona imepewa jina la YohanaWhere is here you said, desciple of Jesus wrote gospel of John
ni kawaida kwa mwandishi kuandika jina lake kama Yohana akivyoandila injili ya Yohana
Ingawa, kama unamzungumzia mwanafunzi wa Yesu, hapo sina uhakika
Ila ninachojua imeandikwa na Yohana
Mimi niko tifauti kidogo, na sufatilii sana vitabu tofauti na Mark na Mathew.Ilitakiwa ujiulize kama haijaandikwa na Yohana mbona imepewa jina la Yohana
Kitu ambacho hamkijui hayo majina ya wanafunzi wa Yesu yamewekwa Ili kuwazuga hata hicho kitabu Cha Mathayo aliandika sio Mathayo mwanafunzi wa Yesu
Kitabu Cha Mathayo na Matendo mwandishi ni Paulo
Mnapata tabu sana lakini mnachopaswa kujua ni hiki Biblia ni mkusanyiko wa maandishi mbalimbali hivyo lazima utakutana story mbalimbali kutegemeana aliyesikia na kuandika.Mfano leo hata ukiweka watu 100 walikuwepo wakati wa Nyerere utapata script tofauti tofauti maana kila mtu alimsikia Nyerere kwa namna tofauti,Hivyo hata mitume wakati wa kuitangaza injili walinakiliwa kwa namna tofauti tofautiYohana ana uafadhali ili muongo mkibwa na mzushi ni injili Mathayo kaibua mambo mengi ambao wenzake hawakugusia kabisa, in short bibilia imejaa uongo mwingi