Injili ya Yohana hadi leo hi mwandishi wake hajulikani

Injili ya Yohana hadi leo hi mwandishi wake hajulikani

Nani kakudanganya?

Gospel of Desciple John:
Eyewitness Testimony: The text presents itself as the testimony of an eyewitness—traditionally identified as John the Apostle, one of the inner circle of Jesus.

Historical Attestation: Early Church Fathers like Irenaeus and the Catholic Encyclopedia maintained that John wrote the gospel toward the end of his life in Ephesus.
Kama wewe haujui kuwa mwandishi wa Injili ya Yohana hajulikani basi jua wewe ni kilaza

Hawa hapa ni wagalatia wenzako wenyewe sio vilaza kama wewe maana wao wanajua kuwa aliyeandika kitabu Cha Yohana hajulikani wakajalibu kuweka Mawazo Yao katika hili

Ushahidi wa ndani. Mwandishi asiyetajwa jina alikuwa shahidi aliyemwona Kristo ( 1:14; 19:35; 21:24 ) na amejitambulisha kuwa “mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda” ( 13:23; 21:7, 20 ). Pia alikuwa mmoja wa wale mitume 12 (Mt 10:2). Mara nyingi, mwandishi anaonyeshwa kwa karibu sana na Petro (20:2-8; 21:7), kama mtume Yohana alivyo katika Synoptics na Matendo (Mt 17:1; Mdo 3:1-4). Kwa kuongezea, ulinganifu na Ufunuo, ulioandikwa na Yohana, hukazia kisa chenye nguvu kilichotolewa kwa ajili ya maoni ya kimapokeo kwamba mtume Yohana aliandika kitabu hicho.

Alafu nielewe kitu kimoja Mimi si ongelei hayo maubili yenu huko makanisani mnakodanganya kuwa hiki kitabu ameandika Yohana mwanafunzi wa Yesu

Mimi naongelea biblical science imeshindwa kumjua aliyeandika kitabu Cha Yohana huo ndio ukweli na utabaki hivyo
 
Back
Top Bottom