Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

mie nina personal bundle na club
 
Zile rekodi kule ukiwa unaziweka sawa uwage unanitag bana. 😅
Nitalizingatia hilo, juzi nilishusha madini mle mpaka akajitokeza Mtakwimu na Mhasibu mkuu kanipa dislikes kama njugu ila nilifurahi kuona uwepo wake baada ya kitambo kirefu.
 
Itakuwa ni yale manguo yao ya kijani na njano
 
Makolo roho inawauma[emoji23]
Wachezaji wetu walioiwakilisha Tz kimataifa, watakuwa na chakula cha pamoja ikulu na Mh Rais
Kwahiyo huo muda walipanga kuondoka, wakasugue kalio kwenye bus, Mama amewapa Favor,, watapaa Shwaaa.


Mama shikilia hapo hapo [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji91]


Antonnia ,Bantu Lady
Njoo muone makolo wanaumia[emoji23]
 
Mama anaupiga mwingi [emoji172][emoji169][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wananchiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Shwaaaa, Mbeya.

Mnaolialia jamani kwani mnataka Yanga wakasote kwenye mabus usiku kucha?

Tuwe wazalendo,,,
Ndege wakipanda viongozi tu mnalalamika,
Haya, wamewapa wananchi wapande bado mnalalamika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Mama anapenda kukera jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile ndege ilitolewa kwenda kwa Waarabu watu walilia hivihivi.
Amekolezea hapo hapo[emoji1787]
 
Hiyo timu ilifika fainali?
 
Nitalizingatia hilo, juzi nilishusha madini mle mpaka akajitokeza Mtakwimu na Mhasibu mkuu kanipa dislikes kama njugu ila nilifurahi kuona uwepo wake baada ya kitambo kirefu.
Hahahaaa! Mie nikawa najua hapitagi mule. 🤣🤣

Ila afadhali kama anajipoza machungu kwa hizo Dislikes. 🤣 Sisi wadau tukiziona tubakia kusema hihihihiiiiiiiii. 🤣
 
Kikubwaa Kombe limebaki uarabuniii, hizi takrima za mama kwa Utopoloo sio big deal hata.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kifupiii haistuiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…