Injinia Hersi ulishaharibu tangu mwanzo na sasa hatuna namna zaidi ya kuipongeza Simba kwa ubingwa

We Ndio unapuyanga what is team?
Team lazima uwe na wachezaji na coach,Kama unajenga team imara lazima uzuie wachezaji na kocha wabaki
Project ni malengo na philosophy ya timu sio wachezaji na kocha wale wale, hawa wanabadilika
Ndo maana ukienda ulaya unajua mchezaji ana fit kwenye timu kama Barcelona lakini alienda kwenye project ya Liverpool anakwama
Nitawafundisha mpaka lini?
 
Wewe mshabiki plastic tu.Kabla ya Gamondi timu yenu ilikuwa haishindi?Angekuwa bonge la kocha asingeenda Libya bali timu kubwa za Afrika.
Timu yenu ikishinda unakaa kimya ikipata changamoto unakuja na ngonjera za Gamondi.
Muulize tu kwanini huyo Gamondi alikuwa anashinda kwa mbinde mbele ya akina KMC na Ken Gold halafu leo awe na imani na Gamondi kama angeweza kuifunga Al Hilal au Mc Alger?
 
Njoo ufatilie ligi tajiri angu...Ligi hii Timu ni mbili Simba au Yanga hawa wengine wameachwa padogo Sana kwahio makombe yatapita hapo
 
Project ni malengo na philosophy ya timu sio wachezaji na kocha wale wale, hawa wanabadilika
Ndo maana ukienda ulaya unajua mchezaji ana fit kwenye timu kama Barcelona lakini alienda kwenye project ya Liverpool anakwama
Nitawafundisha mpaka lini?
Kwanza what is project?
Ukishaijua project yako ni Nini unaanza kutafuta resorces (Human and capital)
Combination ya Human resouces kwenye project inaitwa Team(na kiongozi wa team anaitwa head of the team)
Sasa wewe una project unaondoa head of the team kirahisi hivyo
Matako yako usije hapa kama huna akili.
 
We Ndio unapuyanga what is team?
Team lazima uwe na wachezaji na coach,Kama unajenga team imara lazima uzuie wachezaji na kocha wabaki
Kuna wakati ukizidiwa nguvu ya kuzuia unaacha huwezi endelea kubishana na wenye nguvu. Man utd wamemchukua Reuben akiwa na mwendo mzuri na timu yake Lisbon. Huenda tungesema yule tayari alishaanza project yake na bado akaiacha. Lakini kwa kuwa ni ya timu amewaacha wanaendelea na project yao. Kuna timu zikimtaka mchezaji au kocha wako huwezi zuia. Mgunda alikuwa anaenda vizuri na Coast lakini Simba walipomtaka hakujali maswala ya project. Chama waarabu walipomtaka hakuwaza habari za project. Hata Mzize akiendelea na consistence hii June hatajari maswala ya project ya Yanga.
 
Project ni malengo na philosophy ya timu sio wachezaji na kocha wale wale, hawa wanabadilika
Ndo maana ukienda ulaya unajua mchezaji ana fit kwenye timu kama Barcelona lakini alienda kwenye project ya Liverpool anakwama
Nitawafundisha mpaka lini?
Unajisumbua tu kueleza wasiolewa
 
Sio kwamba mmemfukuza? Huyu Ramovich Kwenda CR Boulzidad ni uongo mkubwa.
Take my note below

Yanga amemaliza kundi akiwa nafasi ya 3 kwa point 8
CRB amemaliza kundi lake akiwa na point 9.

Wote hwajafuzu, ni ngumu CRB kumtaka kocha alieshindwa kuivusha team yake makundi.
 
Reactions: Tui
Mkuu achana na hii kiumbe utaumiza kichwa bure!
 
Gamondi ilikuwa laZima aondoke alianza kuharibu dressing room
Wachezaji anawapekeka bar
Anabagua wachezaji wasio rafiki zake hawapi nafasi, anawap nafasi walevi wenzio
Kumwachia bench Kibwana akiwa fit na kuchezesha Nkane kama mlinzi kulia
Kwahiyo wale first 11 ya Gamond ndio walevi wenzake?
 
Nilitaka kusema maneno mabaya ila imebidi nikae kimya. Eti "take my note". Wewe ni nani kwenye familia ya Ramovic? Yeye mwenyewe amethibitisha anaenda huko wewe unaleta story zako zisizo na kichwa wala miguu. Kama hujui kitu tulia. Unamfukuza Ramovic kwa kosa lipi mpaka sasa?

Amefuata mpunga na sioni ubaya
 
Mbona mkuu nguvu ya pesa unaipa kipimo kidogo hivyo? Yaani upate Chaka la karibia mara 3 ya hicho unachopata utasubiri nini tena? Wacha hizo mkuu Yanga siyo timu ya nyanya yake!
Watu wanachukulia poa nguvu ya pesa. Sijui wanaishi kwenye ulimwengu upi!
 
We Ndio unapuyanga what is team?
Team lazima uwe na wachezaji na coach,Kama unajenga team imara lazima uzuie wachezaji na kocha wabaki
Ndio namshangaa jamaa huyu vitu vidogo hivyo anashindwa kujua kweli?
 
Unapoteza nguvu zako za bure hapo mkuu
 
Una uelewa mdogo sana au either wlimu ndogo vitu rahisi sana kuvielewa hivi

Nimeamua rasmi kukupuuzia

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…