ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Project ni malengo na philosophy ya timu sio wachezaji na kocha wale wale, hawa wanabadilikaWe Ndio unapuyanga what is team?
Team lazima uwe na wachezaji na coach,Kama unajenga team imara lazima uzuie wachezaji na kocha wabaki
Ndo maana ukienda ulaya unajua mchezaji ana fit kwenye timu kama Barcelona lakini alienda kwenye project ya Liverpool anakwama
Nitawafundisha mpaka lini?