Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

wamemfanyia scouting lkn ama wanasajil kwa stats..

Mkuu there is no way kusiwe na scouting katika kusajili mchezaji wa nje haswa toka bara jingine, labda ungehoji ubora wa hiyo scouting
 
Oooh nimekuelewa ila Mazembe wako wenye miili midogo lkn wanafanya makubwa,miiili midogo iliyojengeka, mfn kalaba,mputu,Elisha,miche ,isama

Ila km MNA timu ya kufanya scouting ni jambo jema , mie nasubiri matokeo chanya juu ya huu usajiri wa mwaka huu

MTC | 101| [emoji769]

Wacha tusubiri
 
PUMBAVUUUU!! "in Majuto's voice"
Yaani pamoja na kuchezea ligi ya awali kabisa huko kwa muda Wa miaka 5 amefunga goli tatu?
Screenshot_20190621-142139.jpg
 
Nimetoka kumfanyia uhakiki You tube maana isije ikawa mambo ya kina Jaja
Mkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,

Narudia tena kwa usajili wa Msudan pale tulilenga ila kwa huyu hata kwa MK 14 anasubiri aiseeeh, youtube haidanganyi,,
 
Huyu jamaa statistics zake haziridhishi kabisa kacheza Serie D lakini anagoli 4 tu official tangu 2014 Hadi 2019

Sidhani kocha Aussems anaweza pendekeza mchezaji wa hivi akafanye makubwa klabu bingwa Africa

Inaonekana Simba Kuna shida sehemu Walter Bwalya ilikuwa tunapanda treni tu Hadi Zambia kumchua
Inst-image-13.jpeg
 
Mkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,

Narudia tena kwa usajili wa Msudan pale tulilenga ila kwa huyu hata kwa MK 14 anasubiri aiseeeh, youtube haidanganyi,,
Mashabiki nyie sisi tumewazoea
hata kwa harmonize,( zana kaulibaly) mliongea mengi akaja akawa prove wrong.

Brazil serial B utazilinganisha na league zetu za Africa humu ndani? Huko alikuwa na mafundi wenzake. Huku kwenye butua butua lazima atupie goli za kutosha tu.

Boko na okwi wenyewe pia waliitwa wazee
 
Huyu hafikii uwezo wa okwi hata robo,, tutakuja kumlaum kocha bure kuwa hampangi,,

Huyu hata ktk Taifa stars ya misri angeachwa tu,
Huyo okwi unaemzungua ajawahi perform vizuri league yeyote nje zaidi ya hapa bongo mkuu; nje huwa anasuguaga bench msimu mzima
 
Mkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,

Narudia tena kwa usajili wa Msudan pale tulilenga ila kwa huyu hata kwa MK 14 anasubiri aiseeeh, youtube haidanganyi,,
Kwahy Mkuu inawezekana asifanye vzr? Ila mpira hauko hivyo anaweza kuperfom hapa mkashangaa
 
Mashabiki nyie sisi tumewazoea
hata kwa harmonize,( zana kaulibaly) mliongea mengi akaja akawa prove wrong.

Brazil serial B utazilinganisha na league zetu za Africa humu ndani? Huko alikuwa na mafundi wenzake. Huku kwenye butua butua lazima atupie goli za kutosha tu.

Boko na okwi wenyewe pia waliitwa wazee
Mkuu labda ungefatilia commentz zangu za jana kuhusu ELDIN yule Msudan, pale tulilenga ila kwa huyu hapana,, kwenye ukweli tuongee tu na kwenye mashaka tuongee kweli,,
 
Back
Top Bottom