Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Umemuonaje mkuu ?Nimetoka kumfanyia uhakiki You tube maana isije ikawa mambo ya kina Jaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuonaje mkuu ?Nimetoka kumfanyia uhakiki You tube maana isije ikawa mambo ya kina Jaja
Hahahaha, nyie timu zenu mnasajiri kwa mahaba na utani mwingi , hawa mnawaleta ni chaguo la kocha? aliwaona wapi au ndio clip za YouTube ? OK ahsante kwa ukaribisho nawe KaribuSawa sawa, lakini pia hiyo haikuzuii kuipenda Simba, Yanga au timu yoyote nje ya TP si ndio ? Karibu sana unyamani kama ikikupendeza
Tupe taarifa au link tujioneeNimetoka kumfanyia uhakiki You tube maana isije ikawa mambo ya kina Jaja
Hapana mmoja anachezea Santos na mwingine ni FluminiseFlamingo
Hahahaha, nyie timu zenu mnasajiri kwa mahaba na utani mwingi , hawa mnawaleta ni chaguo la kocha? aliwaona wapi au ndio clip za YouTube ? OK ahsante kwa ukaribisho nawe Karibu
Karibu Kamalondo, Karibu Golf,Karibu Lubumbashi ,Karibu TP Mazembe timu yenye uhakika wa kucheza robo,fainali na kuchukua CCL
Alafu unaambiwa huyu jamaa nikatili zaidi ya ukatili wa kagere mbona watakomaWilker Henrique Da Silva ni moto wa kuotea mbali, akipata nafasi 3 anafunga goli 4 [emoji23][emoji23]
Nauli yake tu, kuja Bongo unanunua wale wa mafungu wote kutoka Baridiiiiiiii FC
Ngoja niende youtube kwanza
Oooh nimekuelewa ila Mazembe wako wenye miili midogo lkn wanafanya makubwa,miiili midogo iliyojengeka, mfn kalaba,mputu,Elisha,miche ,isama''Ninadhani'' tunayo recruitment team ambayo inapitia mahitaji ya mwalimu katika idara zote za timu yake. Lakini pia sina mashaka kwamba kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho juu ya usajili mwalimu nayeye ana kauli yake.
Ni vigumu mwalimu wakati wote kutaja wachezaji specific anaowataka, kuna wakati anataja 'aina' ya wachezaji anaowataka na kamati ya usajili inafanyia kazi mapendekezo yake kulingana pia na bajeti ya timu.
Kama ukiangalia vizuri aina ya wachezaji wanaotangazwa na Simba msimu wana miili mikubwa (physical presence) hii itatusaidia kuwa washindani wazuri zaidi kwenye mechi za Afrika. Miongoni mwa changamoto zilizotukumba mwaka jana ni udogo wa maumbo ya baadhi ya wachezaji wetu hivyo kutokua washindani mahiri kwenye mipira ya 50/50.
Mwakani tutakuja na uwezo zaidi na tutakua washindani zaidi ya mwaka huu, na kama tutakutana na Mazembe basi 'we promise a much better war'....
Nashukuru kwa kunikaribisha mitaa ya Lubumbashi na viunga vyake, inshaallah Mungu akipenda nitatembelea hapo.
Sasa akiwa na yule Jitu Msitu Shiboub nadhani kuna timu itarostam kabla ya mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu unaambiwa huyu jamaa nikatili zaidi ya ukatili wa kagere mbona watakoma