Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

Sawa sawa, lakini pia hiyo haikuzuii kuipenda Simba, Yanga au timu yoyote nje ya TP si ndio ? Karibu sana unyamani kama ikikupendeza
Hahahaha, nyie timu zenu mnasajiri kwa mahaba na utani mwingi , hawa mnawaleta ni chaguo la kocha? aliwaona wapi au ndio clip za YouTube ? OK ahsante kwa ukaribisho nawe Karibu

Karibu Kamalondo, Karibu Golf,Karibu Lubumbashi ,Karibu TP Mazembe timu yenye uhakika wa kucheza robo,fainali na kuchukua CCL
 
Kule brazili mtoto wa kiume akizaliwa tu zawadi yake ya kwanza kupewa na baba ake ni njumu football boots.

Kule kila mtu anakipaji wote hawewezi kusajiliwa ulaya. Yani brazili kila kona mpira kama ilivyo bongo kila kona umbea.

Hongera simba kwa kujiongeza bila uwoga kwenda kusajili mpira ulipozaliwa
 
Hahahaha, nyie timu zenu mnasajiri kwa mahaba na utani mwingi , hawa mnawaleta ni chaguo la kocha? aliwaona wapi au ndio clip za YouTube ? OK ahsante kwa ukaribisho nawe Karibu

Karibu Kamalondo, Karibu Golf,Karibu Lubumbashi ,Karibu TP Mazembe timu yenye uhakika wa kucheza robo,fainali na kuchukua CCL

''Ninadhani'' tunayo recruitment team ambayo inapitia mahitaji ya mwalimu katika idara zote za timu yake. Lakini pia sina mashaka kwamba kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho juu ya usajili mwalimu nayeye ana kauli yake.
Ni vigumu mwalimu wakati wote kutaja wachezaji specific anaowataka, kuna wakati anataja 'aina' ya wachezaji anaowataka na kamati ya usajili inafanyia kazi mapendekezo yake kulingana pia na bajeti ya timu.

Kama ukiangalia vizuri aina ya wachezaji wanaotangazwa na Simba msimu wana miili mikubwa (physical presence) hii itatusaidia kuwa washindani wazuri zaidi kwenye mechi za Afrika. Miongoni mwa changamoto zilizotukumba mwaka jana ni udogo wa maumbo ya baadhi ya wachezaji wetu hivyo kutokua washindani mahiri kwenye mipira ya 50/50.
Mwakani tutakuja na uwezo zaidi na tutakua washindani zaidi ya mwaka huu, na kama tutakutana na Mazembe basi 'we promise a much better war'....

Nashukuru kwa kunikaribisha mitaa ya Lubumbashi na viunga vyake, inshaallah Mungu akipenda nitatembelea hapo.
 
wamemfanyia scouting lkn ama wanasajil kwa stats..
 
Oooh nimekuelewa ila Mazembe wako wenye miili midogo lkn wanafanya makubwa,miiili midogo iliyojengeka, mfn kalaba,mputu,Elisha,miche ,isama

Ila km MNA timu ya kufanya scouting ni jambo jema , mie nasubiri matokeo chanya juu ya huu usajiri wa mwaka huu

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom