wamemfanyia scouting lkn ama wanasajil kwa stats..
Oooh nimekuelewa ila Mazembe wako wenye miili midogo lkn wanafanya makubwa,miiili midogo iliyojengeka, mfn kalaba,mputu,Elisha,miche ,isama
Ila km MNA timu ya kufanya scouting ni jambo jema , mie nasubiri matokeo chanya juu ya huu usajiri wa mwaka huu
MTC | 101| [emoji769]
haha Unaambiwa huyu jamaa akipata nafasi 3 anafunga goli 4Sasa akiwa na yule Jitu Msitu Shiboub nadhani kuna timu itarostam kabla ya mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
SimbaNguvuMoja
Mkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,Nimetoka kumfanyia uhakiki You tube maana isije ikawa mambo ya kina Jaja
Huwa nikiona mbrazil anakuja bongo hata siwaamini sana,,hivi Jaja na yule coutinho sasa hivi wanachezea vilabu gani?
Huyu hafikii uwezo wa okwi hata robo,, tutakuja kumlaum kocha bure kuwa hampangi,,Huyu mjinga ni hatari nanaona nafasi ya okwi imepata fundi
Mashabiki nyie sisi tumewazoeaMkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,
Narudia tena kwa usajili wa Msudan pale tulilenga ila kwa huyu hata kwa MK 14 anasubiri aiseeeh, youtube haidanganyi,,
Tangu 2012/13 hajafunga Tena goli zaidi ya 4 Hadi Leo 2019
Huyo okwi unaemzungua ajawahi perform vizuri league yeyote nje zaidi ya hapa bongo mkuu; nje huwa anasuguaga bench msimu mzimaHuyu hafikii uwezo wa okwi hata robo,, tutakuja kumlaum kocha bure kuwa hampangi,,
Huyu hata ktk Taifa stars ya misri angeachwa tu,
Kwahy Mkuu inawezekana asifanye vzr? Ila mpira hauko hivyo anaweza kuperfom hapa mkashangaaMkuu na mm nmemchek you tube,, huyu jamaa anasifa ya ushambuliaji wala si kiungo mshambuliaji,, uwezo wake ni wakawaida sanaa,, kwa hapa simba tumetetereka aisehh,, huyu ataanzia bench hawez kuwa chaguo la kwanza,,
Narudia tena kwa usajili wa Msudan pale tulilenga ila kwa huyu hata kwa MK 14 anasubiri aiseeeh, youtube haidanganyi,,
Mkuu labda ungefatilia commentz zangu za jana kuhusu ELDIN yule Msudan, pale tulilenga ila kwa huyu hapana,, kwenye ukweli tuongee tu na kwenye mashaka tuongee kweli,,Mashabiki nyie sisi tumewazoea
hata kwa harmonize,( zana kaulibaly) mliongea mengi akaja akawa prove wrong.
Brazil serial B utazilinganisha na league zetu za Africa humu ndani? Huko alikuwa na mafundi wenzake. Huku kwenye butua butua lazima atupie goli za kutosha tu.
Boko na okwi wenyewe pia waliitwa wazee
Mkuu usimayo kweli lakini si kwa huyu,Kwahy Mkuu inawezekana asifanye vzr? Ila mpira hauko hivyo anaweza kuperfom hapa mkashangaa
hahaha Mimi nasevu comment zakoMkuu labda ungefatilia commentz zangu za jana kuhusu ELDIN yule Msudan, pale tulilenga ila kwa huyu hapana,, kwenye ukweli tuongee tu na kwenye mashaka tuongee kweli,,