Inonga anaiheshimisha NBC Premier League

Inonga anaiheshimisha NBC Premier League

Dah Mzee umemchana mbaya mbovu .........
Na ukweli wanaujua kuwa wao ndio wanaongoza kufanya sajili mbovu ila wanabebwa na mipango mipango tu ya nje plus Ulozi wa kuroga wachezaji wa timu pinzani washuke uwezo
 
Na ukweli wanaujua kuwa wao ndio wanaongoza kufanya sajili mbovu ila wanabebwa na mipango mipango tu ya nje plus Ulozi wa kuroga wachezaji wa timu pinzani washuke uwezo
Twende kazi Dj

Ukumbuke kuwa klabu ya Simba inatambuliwa na CAF kama klabu Kiongozi Katika maswala ya kishirikina barani Afrika.

Hii Ina thibitishwa na baadhi ya wachezji wa klabu iyo kulalamika kwa watu wao wa karibu kuwa vitendo vya kishirikina vime kithiri kiasi Cha wachezaji aki fua/Fanya usafi, ahakikishe analinda nguo au vifaa vyake mpaka vinapo kauka ili kuepuka wachezji wachawi ku kwapua na kwenda kuvifanyia ushirikina.

Uongozi wa klabu iyo umejipambanua zaidi baada ya hivi karibuni ku ukataa uwanja wa Azam complex kwa madai hawapati matokeo kwakua uwanja wa Azam una mazingira magumu kwao kupata ushindi kupitia njia za kishirikina.

Lakini Ime fahamika kua Azam hawataki uwanjawao uchimbwe na kufukiwa makafara na klabu iyo ya msimbazi kama ilivyo fanikiwa ku uharibu uwanja wa Benjamin Mkapa na kupelekea nyasi za uwanjauo kukauka na kuonekana kama zilizo pigwa na radi.
Hali iyo inafanya viongozi wa Simba kuona wananyimwa haki Yao ya msingi katika vitendo hivyo vya kitamaduni.
Hizi ni chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende kazi Dj

Hao wachezaji ambao ni mizigo Simba ikiwaacha mnakimbilia kuwasajili i.e Mkude na Okrah hivi kama kweli hamjui mlichowafanyia unawezaje kumsajili mchezaji kama Okrah ukawa na uhakika kwako atakuwa na msaada
 
Twende kazi Dj

Juzi tu hapa mmetoa sare na mtibwa mnalia na wakina Mzize na Max ambao wakicheza kwenye derby wanakuwa kama Halland na Mbappe waone sasa wakiwa kimataifa utashangaa hivi ndio wenyewe hawa?
 
Yule siyo mtanzania na anachezea nchi yake ya Congo. Nbc PL unahusikaje?
Mtoa mada anaelewa kuwa Inonga ni Mcongo na kule anawakilisha nchi yake, lakini anachoongelea mtoa mada ni kuwa Inonga anachezea club ya Simba ya Tanzania. Kwa iyo ligi ya Tanzania inawakilishwa na Inonga.
Ukianza kuchambua ligi ambazo wachezaji wao Bado wako AFCON basi na ligi ya Tanzania imo na inawakilishwa na Enock Inonga toka Simba Sports Club

Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
 
Juzi tu hapa mmetoa sare na mtibwa mnalia na wakina Mzize na Max ambao wakicheza kwenye derby wanakuwa kama Halland na Mbappe waone sasa wakiwa kimataifa utashangaa hivi ndio wenyewe hawa?
Sare na Mtibwa? Mpira unasimuliwa kumbe? Juzi ya lini Yanga katoa sare na Mtibwa?
Kama timu unayotuhumu kuloga inaweza kutoa sare basi ujue hakuna uchawi kwenye mchezo wa mpira wa miguu
 
Hao wachezaji ambao ni mizigo Simba ikiwaacha mnakimbilia kuwasajili i.e Mkude na Okrah hivi kama kweli hamjui mlichowafanyia unawezaje kumsajili mchezaji kama Okrah ukawa na uhakika kwako atakuwa na msaada
Haya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?
 
Inonga anawindwa na Manchester united ili kuziba nafasi ya Harry Maguire anayetakiwa kuondoka
 
Huyu beki kisiki alikuwepo siku timu yake inapokea kipigo kitakatitfu toka kwa wananchi?
 
Yule siyo mtanzania na anachezea nchi yake ya Congo. Nbc PL unahusikaje?
Utambulisho wake akiwa huko inatajwa moja kwa moja klabu anayochezea na kwa maana hiyo hata Ligi anayochezea tayari inapata kujulikana na inaweza kuongeza imani hata kwa wachezaji wengne kuja kwenye ligi yetu wakijua ni ligi bora kabisa maana inatoa wachezaji bora kabisa
 
Huyu beki kisiki alikuwepo siku timu yake inapokea kipigo kitakatitfu toka kwa wananchi?
Haibadilishi yeye kuwa mchezaji pekee na wa kwanza kufika nusu fainali ya Afcon kutoka kwenye ligi yetu hii na hao waliotoa hiko kipigo kitakatifu wao wote wanaisubiri Dodoma jiji baada ya kushindwa kuzisaidia timu zao
 
Haya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?
Kama alikuwa hana kitu akiwa Simba na bado viongozi wako wakaenda kumsajili hivyo hivyo wewe huoni tu hapo kuna kitu wao wanakijua wakikichomoa tu atawasha moto au unataka niamini kuwa Engineer ni kiongozi mjinga kiasi hicho unachosema

Wanahangaika kumuweka sawa uzuri walimuharibu wenyewe sio muda watalimaliza
 
Haya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?
Na sio Okrah hata hawa wakina Phiri dirisha kubwa watawarudia na watawasajili
 
Uzuri wa Simba hatubanii mtu kuondoka. Sio kama Uto wanakuruhusu halafu wanakuroga
 
Back
Top Bottom