Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatunaye.....sio Atunaye!!Msimu ujao atunaye tena 🤒
Usijitie aibu....
Twende kazi DjNa ukweli wanaujua kuwa wao ndio wanaongoza kufanya sajili mbovu ila wanabebwa na mipango mipango tu ya nje plus Ulozi wa kuroga wachezaji wa timu pinzani washuke uwezo
Hizi ni chukiUkumbuke kuwa klabu ya Simba inatambuliwa na CAF kama klabu Kiongozi Katika maswala ya kishirikina barani Afrika.
Hii Ina thibitishwa na baadhi ya wachezji wa klabu iyo kulalamika kwa watu wao wa karibu kuwa vitendo vya kishirikina vime kithiri kiasi Cha wachezaji aki fua/Fanya usafi, ahakikishe analinda nguo au vifaa vyake mpaka vinapo kauka ili kuepuka wachezji wachawi ku kwapua na kwenda kuvifanyia ushirikina.
Uongozi wa klabu iyo umejipambanua zaidi baada ya hivi karibuni ku ukataa uwanja wa Azam complex kwa madai hawapati matokeo kwakua uwanja wa Azam una mazingira magumu kwao kupata ushindi kupitia njia za kishirikina.
Lakini Ime fahamika kua Azam hawataki uwanjawao uchimbwe na kufukiwa makafara na klabu iyo ya msimbazi kama ilivyo fanikiwa ku uharibu uwanja wa Benjamin Mkapa na kupelekea nyasi za uwanjauo kukauka na kuonekana kama zilizo pigwa na radi.
Hali iyo inafanya viongozi wa Simba kuona wananyimwa haki Yao ya msingi katika vitendo hivyo vya kitamaduni.
Hao wachezaji ambao ni mizigo Simba ikiwaacha mnakimbilia kuwasajili i.e Mkude na Okrah hivi kama kweli hamjui mlichowafanyia unawezaje kumsajili mchezaji kama Okrah ukawa na uhakika kwako atakuwa na msaadaTwende kazi Dj
Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote
Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...www.jamiiforums.com
Robertinho: Usajili wa Simba ulikuwa mbovu
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta." Robertinho via @MwanaspotiTZwww.jamiiforums.com
Juzi tu hapa mmetoa sare na mtibwa mnalia na wakina Mzize na Max ambao wakicheza kwenye derby wanakuwa kama Halland na Mbappe waone sasa wakiwa kimataifa utashangaa hivi ndio wenyewe hawa?Twende kazi Dj
Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote
Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...www.jamiiforums.com
Robertinho: Usajili wa Simba ulikuwa mbovu
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta." Robertinho via @MwanaspotiTZwww.jamiiforums.com
Yule siyo mtanzania na anachezea nchi yake ya Congo. Nbc PL unahusikaje?Aisee naliona hilo linakuja ila najipa moyo isiwe kweli
Mtoa mada anaelewa kuwa Inonga ni Mcongo na kule anawakilisha nchi yake, lakini anachoongelea mtoa mada ni kuwa Inonga anachezea club ya Simba ya Tanzania. Kwa iyo ligi ya Tanzania inawakilishwa na Inonga.Yule siyo mtanzania na anachezea nchi yake ya Congo. Nbc PL unahusikaje?
Sare na Mtibwa? Mpira unasimuliwa kumbe? Juzi ya lini Yanga katoa sare na Mtibwa?Juzi tu hapa mmetoa sare na mtibwa mnalia na wakina Mzize na Max ambao wakicheza kwenye derby wanakuwa kama Halland na Mbappe waone sasa wakiwa kimataifa utashangaa hivi ndio wenyewe hawa?
Haya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?Hao wachezaji ambao ni mizigo Simba ikiwaacha mnakimbilia kuwasajili i.e Mkude na Okrah hivi kama kweli hamjui mlichowafanyia unawezaje kumsajili mchezaji kama Okrah ukawa na uhakika kwako atakuwa na msaada
Utambulisho wake akiwa huko inatajwa moja kwa moja klabu anayochezea na kwa maana hiyo hata Ligi anayochezea tayari inapata kujulikana na inaweza kuongeza imani hata kwa wachezaji wengne kuja kwenye ligi yetu wakijua ni ligi bora kabisa maana inatoa wachezaji bora kabisaYule siyo mtanzania na anachezea nchi yake ya Congo. Nbc PL unahusikaje?
Haibadilishi yeye kuwa mchezaji pekee na wa kwanza kufika nusu fainali ya Afcon kutoka kwenye ligi yetu hii na hao waliotoa hiko kipigo kitakatifu wao wote wanaisubiri Dodoma jiji baada ya kushindwa kuzisaidia timu zaoHuyu beki kisiki alikuwepo siku timu yake inapokea kipigo kitakatitfu toka kwa wananchi?
Kama alikuwa hana kitu akiwa Simba na bado viongozi wako wakaenda kumsajili hivyo hivyo wewe huoni tu hapo kuna kitu wao wanakijua wakikichomoa tu atawasha moto au unataka niamini kuwa Engineer ni kiongozi mjinga kiasi hicho unachosemaHaya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?
Na sio Okrah hata hawa wakina Phiri dirisha kubwa watawarudia na watawasajiliHaya huyo Okrah kama kuna kitu kafanyiwa na Yanga, vipi umeona akiwa anaitumikia Yanga mara kwa mara? Zaidi ya kile kile kile kilichokuwepo akiwa Simba kuna lipi uliloliona la tofauti kwa Okrah akiwa Yanga?
Zote.