INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

Muuza madafu wa Ikulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
1,277
Reaction score
2,888
Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.

Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga.

Hizi ni baadhi ya Picha za Wana Lunyasi waliojiandaa kwa ajili ya Inonga Day. Tupia picha yoyote ya Mwana Lunyasi akiwa amejiandaa kwa Inonga Day kama njia ya kuhamasishana tukaujaze Estadio Du Benjamini Mkapa Stadium.

Mwamba ametupia kichuga kama inonga.

Mambo ya Inonga Day

Maandalizi ya Inonga Day.

"5imba guvumoya" sisi ndio Wazee wa CAFCL na Wazee wa Super League.
 
Umeandika kwa hisia kama za binti mwenye ujauzito wa wiki 2.

You joined Wednesday mama kijacho ili kutushirikisha mahangaiko yako?
 
ni inonga day au inonga ndio mgeni rasmi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unapinga agizo la msemaji wako? Mnajifanya kukosoa hadharani kumbe mkijifungia wenyewe mnaona dili........eti mgeni rasmi Ahmed naye tayari ashajua wengi wenu ni mbux3
vipi msemaji wenu aliezimia kwa kutinga utopolo robo fainali ameshazinduka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…