INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

We kolo kweli, hao wachezaji wenyewe mwenzao akifunga wanaenda kumpongeza humo humo uwanjani, hapo unadhani wao wanakuwa hawajui kufunga? Si kwamba unapoiita siku fulani ni ya mtu fulani maana yake unamtukuza mchezaji huyo..!!

BTW, Kibu alipokuwa mgenbi rasmi kwenye ile dali mliyobugizwa gwalaa, mlimtukuza?
Mna akili za kichoko sana nyie maammbwa
 
Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.

Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga.

Hizi ni baadhi ya Picha za Wana Lunyasi waliojiandaa kwa ajili ya Inonga Day. Tupia picha yoyote ya Mwana Lunyasi akiwa amejiandaa kwa Inonga Day kama njia ya kuhamasishana tukaujaze Estadio Du Benjamini Mkapa Stadium.
View attachment 2917296
Mwamba ametupia kichuga kama inonga.
View attachment 2917297
Mambo ya Inonga Day
View attachment 2917298
Maandalizi ya Inonga Day.

"5imba guvumoya" sisi ndio Wazee wa CAFCL na Wazee wa Super League.
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja tuisubiri hiyo siku, muone mnavo nyamazishwaaa
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tupia picha moja ya Inonga Day Mkuu.
 
Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.

Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga.

Hizi ni baadhi ya Picha za Wana Lunyasi waliojiandaa kwa ajili ya Inonga Day. Tupia picha yoyote ya Mwana Lunyasi akiwa amejiandaa kwa Inonga Day kama njia ya kuhamasishana tukaujaze Estadio Du Benjamini Mkapa Stadium.
View attachment 2917296
Mwamba ametupia kichuga kama inonga.
View attachment 2917297
Mambo ya Inonga Day
View attachment 2917298
Maandalizi ya Inonga Day.

"5imba guvumoya" sisi ndio Wazee wa CAFCL na Wazee wa Super League.
Mwenye picha ya mdomo wa Azizi Funguó juzi niliuangalia mdomo wake nilishindwa kuelewa kwamba ni Allergy ya mafuta au alizama sukarini
 
Attachments

  • 1708783200389.jpg
    1708783200389.jpg
    267.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom