INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.

Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga.

Hizi ni baadhi ya Picha za Wana Lunyasi waliojiandaa kwa ajili ya Inonga Day. Tupia picha yoyote ya Mwana Lunyasi akiwa amejiandaa kwa Inonga Day kama njia ya kuhamasishana tukaujaze Estadio Du Benjamini Mkapa Stadium.
View attachment 2917296
Mwamba ametupia kichuga kama inonga.
View attachment 2917297
Mambo ya Inonga Day
View attachment 2917298
Maandalizi ya Inonga Day.

"5imba guvumoya" sisi ndio Wazee wa CAFCL na Wazee wa Super League.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaaah
 
Wana Lunyasi wakijiandaa kwa Inonga Day
Screenshot_20240228_194247_Opera Mini.jpg
 
Back
Top Bottom