INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

Ujinga wa kumtukuza mchezaji utabaki hukohuko utopoloni...huku wachezaji wote ni bora ndo maana tuliwasajili

Yaaani mpaka sasa bado mnamsujudia chama kama yeye ni mungu asipokuwepo basi simba haishindi na mara kibao imejidhihirisha hivyo huku yeyote akizingua haoneshi kiwango timua kabsa
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...kuna watu konyo sana.
 
Ujinga wa kumtukuza mchezaji utabaki hukohuko utopoloni...huku wachezaji wote ni bora ndo maana tuliwasajili
We kolo kweli, hao wachezaji wenyewe mwenzao akifunga wanaenda kumpongeza humo humo uwanjani, hapo unadhani wao wanakuwa hawajui kufunga? Si kwamba unapoiita siku fulani ni ya mtu fulani maana yake unamtukuza mchezaji huyo..!!

BTW, Kibu alipokuwa mgeni rasmi kwenye ile dabi mliyobugizwa gwalaa, mlimtukuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…