GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR.
Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko Langa Langa na hapa nchini Tanzania Wanatamba, Wanatukuzwa na Wanasifiwa mno ila huko Kwao ( Congo DR ) wanaonekana si lolote wala chochote ila Mwenzao Henock Inonga Baka ndiyo anaonekana Lulu na anayejua Mpira kweli.
Tafadhali tunaomba tena Kujulishwa je, hao Wachezaji waliojazana katika hiyo Klabu tunaoambiwa ni Wakongo ( Bandeko Nangai ) ila huko Kongo katika Timu yao ya Taifa hawaitwi na wengine hata hawajawahi Kuitwa ni Wakongo kweli au?