Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

Mayele ni kipenzi cha wafugaji wa Tanzania abaki ale ng'ombe wake.
 
Wamebaki watatu; Kibwana Shomari, Dickson Job na Feisal
 
Bongo sijui ni ushamba yaani kila kitu kinataka kua ushindani sasa coach kaamua kuita wachezaji wanao fit kwenye mfumo wake ila kitu ambacho ni kawaida
 
Bongo sijui ni ushamba yaani kila kitu kinataka kua ushindani sasa coach kaamua kuita wachezaji wanao fit kwenye mfumo wake ila kitu ambacho ni kawaida
Wanaitwa wachezaji bora sio wanao fiti mmekusanya kikundi cha bendi ya congo halafu mnajiona mme win wakati wachezaji wenyewe ni free agent.
 
Wanaitwa wachezaji bora sio wanao fiti mmekusanya kikundi cha bendi ya congo halafu mnajiona mme win wakati wachezaji wenyewe ni free agent.
Hilo ndio kombe lenu, siku hizi mmekua watu wa vituko baada ya kuona kiwanjani pagumu
 
Wakongo hawapendi ubabaishaji na mbwembwe nyingi

Kwasababu wanajua kutofautisha kati ya kipaji na mazali
Kuwachomeka makolo atakavyo!! Kweli ni zali
 
Hao ni wakurya wa inchugu
 
Inonga anatuheshimisha sana.
Hii ni aibu club unayo jinasibu kua kubwa imeshindwa kupambania makombe sasa hivi inatafta furaha kwa vitu vidogo vidogo, kiatu cha Mpole, Hat trick ya Sopu, Kiatu cha Sacko, sasa hivi Inonga kuitwa timu ya Taifa haya ndio mafanikio yenu [emoji1751][emoji1751]
 
Ndio nasema uo ni uzululaji, Hauna tija Kwa mchezaji
Kwa hiyo unataka waitwe wachezaji 11 tu? Huu upuuzi wa Simba na Yanga unaendekeza tabia ya unafki, chuki na roho mbaya katika jamii yetu. Hatuwezi hata kupongezana pale mtu anapofanya vizuri na kupiga hatua katika maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…